joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kwa hiyo wewe roho inakuuma?yah kwani wewe roho haikuumi,kuona msanii wa nje anatoboa kimasiha wakati wa ndani jasho jingi mavuno hafifu!!!
ndio maana nasema bado sana,kwani SA ina watu milioni mia ngapi!!!!
ukiangalia hata pay per view youtube bado tz tunalipa watu pesa ndogo mno,hii inazidi kuchangia sanaa kuleta matokeao hafifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣
Kutoa jasho ndio sifa ya mwanaume.
Mimi hainiumi bali ana ni inspire na kuni motivate ktk kutafuta kwangu.