Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

S
Mzuka

Kuna watu wanadai Diamond yuki njiani kuleta Roll Royce. Isije kuwa ananua used kutoka kwamtu.

Kama itakuwa right hand drive basi atakuwa ame-order kiwandani ambapo ni kwaanzia dolla za kimarekani laki tano hadi aitoe bandarini itagharimu zaidi ya dollar million moja. Vinginevyo itakuwa used tu na tusitishane.

Iyo hapo chini ni Roll Royce phaton ya Simon Cowell $500k
View attachment 1446292
Sopowaa hatakama ni sued
 
Ginimbi njemba ya Uganda kwenye showroom yake anauza rose loose nayeye anazo mbili za kutembelea
 
94658162_1085087611859234_1859997709939769344_n.jpg
I hope hiyo LHD imetumika kama sample tu....
manake kitakuwa kituko
 
Hii gari hata mimi naitaka, sema spare zake kwa wapemba Ilala hamna... Hata Dai atalipaki tu, spare zake hazipatikani kabisa
[emoji23][emoji23]nyie ndio wale wanaotafuta iphone x s max jukwaa la biashara ndogo ndogo.

nimekaa hapa nawaza,hivi ili uweze kuhaso unatakiwa ufanyaje,maana wengine hatuelewi watu wanatafutaje hela[emoji23][emoji23]
 
Hii gari hata mimi naitaka, sema spare zake kwa wapemba Ilala hamna... Hata Dai atalipaki tu, spare zake hazipatikani kabisa
😂😂 Spear zake huwezi kuzipata Temeke mzee, unatuma order kiwandani...
 
Nasikia hutengenezwa kwa oda maalumu. Yaani huwezi likuta showroom. Unaagiza wakutengenezee.
Karibu gari zote za Ulaya na Japan unaponunua mpya unaweka order mapema kwa kuchagua trim level na options unazotaka. e.g rangi, aina ya seats, taa, size ya tairi, engine size etc. Ule uzalishaji wa kufyatua kama tofali siku hizi umebaki kwenye kampuni chache saana.
 
Karibu gari zote za Ulaya na Japan unaponunua mpya unaweka order mapema kwa kuchagua trim level na options unazotaka. e.g rangi, aina ya seats, taa, size ya tairi, engine size etc. Ule uzalishaji wa kufyatua kama tofauli siku hizi umebaki kwenye kampuni chache saana.
mkuu ungesema tu gari za bei mbaya.

hizi gari zetu za kujikingia mvua na jua,bado utaratibu ni kifyatua tu kama matofali[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom