Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

Hakuna Roll Royce right hand japo zinatengenezwa Uingereza
Mkuu acha fiksi. RR zinatengenezwa kwa oda. Ukiweka oda ww ndio unaamua iwe left hand ama right hand driven, kuendana na mahali inapoenda kutumika, kama ni mfumo wa left ama right hand drive. Kusoma hujui, hata picha huoni bro?
 
Mkuu acha fiksi. RR zinatengenezwa kwa oda. Ukiweka oda ww ndio unaamua iwe left hand ama right hand driven, kuendana na mahali inapoenda kutumika, kama ni mfumo wa left ama right hand drive. Kusoma hujui, hata picha huoni bro?
Haya mkuu nimekupata. Nilitaka kukupita hivihivi kwasababu umebadilisha avatar Picha irudishe ile ina satellite dish maporini.

Bado hupo Oslo?
 
Mzuka

Kuna watu wanadai Diamond yuki njiani kuleta Roll Royce. Isije kuwa ananua used kutoka kwamtu.

Kama itakuwa right hand drive basi atakuwa ame-order kiwandani ambapo ni kwaanzia dolla za kimarekani laki tano hadi aitoe bandarini itagharimu zaidi ya dollar million moja. Vinginevyo itakuwa used tu na tusitishane.

Iyo hapo chini ni Roll Royce phaton ya Simon Cowell $500k
28224696-8305075-image-a-101_1589120904405.jpg
 
Kwani ukitaka kununua kitu hadi utangaze? huo ni uzuzu.kumbe mtoto kalithi ulimbukeni kutoka kwa mama.
 
Wasio nacho wakiwa wanamjadili aliyenacho

Hizo ndiyo akili za masikini wa kitanzania hebu tafuteni pesa vijana maana unakuta anayeandika hivi anaishi kwao na kula ugali wa baba ake utafikiri nae ni mama yake


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo usipomjadili ndo unapata hela?
Akili zako nazifananisha na jamaa angu mmoja wa Aim global

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo tumejaa kwa chuki,hasira na roho mbaya.hakuna ambacho hakiwezekani dunia cha muhimu ni aim tu,unataka nini?? at what time?? Hayo ndo maneno ya watu waliofanikiwa hutumia Mfano wizkid mwaka jana alinunua saa ya ndoto yake ambayo cost yake ni zaid ya 400M.

Amini nikwambiayo ukiamua kufanya kitu we weka nia tu no matter ups and downs utakazopitia utakipata tu.Ifike time tuamini na tuhesimu hustle za wenzetu.

Me nampongeza kwa kufikia ndoto yake ya kumiliki RR whether used or 0KM.

"Hang out with people who force u to level up"
 
Kwani ukitaka kununua kitu hadi utangaze? huo ni uzuzu.kumbe mtoto kalithi ulimbukeni kutoka kwa mama.
Kwani Kuna ubaya gani kuwaambia mashabiki zake ambao wanafanya awe na Mafanikio hayo.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo..

So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,


94443861_1107596089616887_4314303565184106496_n.jpg


95125762_280546476280188_7668589340217311232_n.jpg


94658162_1085087611859234_1859997709939769344_n.jpg


94640992_1369527053242280_3872161180554362880_n.jpg


95222650_593717371505998_2662903105321959424_n.jpg
Hongera kwake

Shida Ni barabara zetu
 
Bado hiyo gari haijafika TZ tangia zile kelele? Afu plate number mtu kaedit isomeke Platnumz. Acheni utani. Diamond ni msanii. Pesa aliyonayo ni ya kusumbua vijana wenzake wawili wa3. Sio kama mnavyomuweka. Ni wa kawaida mno kwa kundi kubwa la watu hapa TZ.

NI MIDDLE INCOME KAMA WATZ WENGI. Shida yenu vijana ni kuona jamaa anapiga Show inaingiza mil 200. Hamjui pia katumia gharama kibao na madeni kibao ya kufix. Mikataba ya matangazo sio kama mdhaniavyo.

JARIBUNI KUCHECK FINANCIAL STATEMENTS ZA HAYO MAKAMPUNI MCHEKI ILE ADVERTISEMENT expenses mjionee. Ktk kipengele hicho gharama kubwa huwa ya mabango hasa kulipia TRA, radio na Tv. Mtu kubuni tangazo sio kwamba atalipwa mzigo mzito kihivyo.
Pendeni kujifunza kuwa wawazi. Msiendeshwe na upenzi sijui wa muziki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasio nacho wakiwa wanamjadili aliyenacho

Hizo ndiyo akili za masikini wa kitanzania hebu tafuteni pesa vijana maana unakuta anayeandika hivi anaishi kwao na kula ugali wa baba ake utafikiri nae ni mama yake


Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni sababu ya msingi ya kumshambulia mleta uzi,onesha ulivyonavyo tuvijadili hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanazo kama hizo lakini wamezifungia ndani kwavile hawapendi show off.
 
Back
Top Bottom