Sim Card
JF-Expert Member
- Dec 30, 2019
- 881
- 1,601
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana ipo si unajua tena wengine hawapendi show offMbona niliwahi kuona gari la hivyo Mwanza.
Sopowaa hatakama ni suedMzuka
Kuna watu wanadai Diamond yuki njiani kuleta Roll Royce. Isije kuwa ananua used kutoka kwamtu.
Kama itakuwa right hand drive basi atakuwa ame-order kiwandani ambapo ni kwaanzia dolla za kimarekani laki tano hadi aitoe bandarini itagharimu zaidi ya dollar million moja. Vinginevyo itakuwa used tu na tusitishane.
Iyo hapo chini ni Roll Royce phaton ya Simon Cowell $500k
View attachment 1446292
Umedandia gari kwa mbele.
I hope hiyo LHD imetumika kama sample tu....
😂😂eeeeeh! rose nn!?🙄😂😂😂Ginimbi njemba ya Uganda kwenye showroom yake anauza rose loose nayeye anazo mbili za kutembelea
Rose loose[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23]eeeeeh! rose nn!?🙄[emoji23][emoji23][emoji23]
K2ahiyo ukiwa hauna hupaswi kujadiliWasio nacho wakiwa wanamjadili aliyenacho
Hizo ndiyo akili za masikini wa kitanzania hebu tafuteni pesa vijana maana unakuta anayeandika hivi anaishi kwao na kula ugali wa baba ake utafikiri nae ni mama yake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]nyie ndio wale wanaotafuta iphone x s max jukwaa la biashara ndogo ndogo.Hii gari hata mimi naitaka, sema spare zake kwa wapemba Ilala hamna... Hata Dai atalipaki tu, spare zake hazipatikani kabisa
😂😂 Spear zake huwezi kuzipata Temeke mzee, unatuma order kiwandani...Hii gari hata mimi naitaka, sema spare zake kwa wapemba Ilala hamna... Hata Dai atalipaki tu, spare zake hazipatikani kabisa
Karibu gari zote za Ulaya na Japan unaponunua mpya unaweka order mapema kwa kuchagua trim level na options unazotaka. e.g rangi, aina ya seats, taa, size ya tairi, engine size etc. Ule uzalishaji wa kufyatua kama tofali siku hizi umebaki kwenye kampuni chache saana.Nasikia hutengenezwa kwa oda maalumu. Yaani huwezi likuta showroom. Unaagiza wakutengenezee.
mkuu ungesema tu gari za bei mbaya.Karibu gari zote za Ulaya na Japan unaponunua mpya unaweka order mapema kwa kuchagua trim level na options unazotaka. e.g rangi, aina ya seats, taa, size ya tairi, engine size etc. Ule uzalishaji wa kufyatua kama tofauli siku hizi umebaki kwenye kampuni chache saana.
Heheheee. Imebidi nicheke tu kwanza.mkuu ungesema tu gari za bei mbaya.
hizi gari zetu za kujikingia mvua na jua,bado utaratibu ni kifyatua tu kama matofali[emoji23][emoji23][emoji23].
Sioni sababu ya msingi ya kumshambulia mleta uzi,onesha ulivyonavyo tuvijadili hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa msaada wa dharura utopolo maana yake ni chura fc almaarufu kama Yanga fc
Sent using IPhone X
Kwa hiyo usipomjadili ndo unapata hela?
Akili zako nazifananisha na jamaa angu mmoja wa Aim global
Sent using Jamii Forums mobile app
Una habari kwamba ww ni wa pili kutoa maoni? Yaani kabla yako alikuwepo mtoa mada na mtu mmoja tu. Unajua hiyo inamaanisha nn?