Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce


Na mimi nina mpango wa kununua piki piki je nyie ambao hamna mtanijadili humu?
 
.
 
Hata 'Mchonga' alitumia toleo hilo, wale wahenga nadhani wanakumbuka.
 
.
 
Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo..

So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,










Mtoto mdogo ananyonya kidole gumba?

Mtu ana watoto na midevu unasema mtoto?

Na hao akina rashoford wenye miaka 22 lakini wana kufuru ya pesa utasemaje?

Tafuta pesa Mzee,,wacha kusifia wanaume wenzio.
 
Yule kasha kuwa bilionea kubali kataa, huto mfikia maishani yako yote utaishia kuwa mchambuzi tuu kama akina oscar oscar
Jaribu kutumia akili japo kidogo kama unazo, huwa nasapoti sana hustles za vijana na hiyo post si yangu bali nimei-repost kumkumbusha hater mmoja kuwa alichokuwa akiombea kisiwezekane sasa kimewezekana.
Read and analyze keenly before you respond.
 
Mtoto mdogo ananyonya kidole gumba?

Mtu ana watoto na midevu unasema mtoto?

Na hao akina rashoford wenye miaka 22 lakini wana kufuru ya pesa utasemaje?

Tafuta pesa Mzee,,wacha kusifia wanaume wenzio.
Sisi matajiri huwa tunasifiana wewe maskini endelea kupambana ili utufikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…