TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Toyota hapa walitoa chuma chakiume kabisa hiki unaweza kwenda nacho barabara yoyote ile.
Kilimo kwanza ambacho kipo kwenye muonekano wakibaba sana.
Unaweza ukafunga Jembe nakulima heka.
Huwezi kumuona mtt wakike akapushi hi chuma.
Kilimo kwanza ambacho kipo kwenye muonekano wakibaba sana.
Unaweza ukafunga Jembe nakulima heka.
Huwezi kumuona mtt wakike akapushi hi chuma.