Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Jibu rahisi ni kwamba LC zinakubalika Tz kuliko Patrol..Nilisikiliza documentary Toyota walitumia zaidi ya miaka7 Hadi Kuja na hii chuma mwaka 2007 body ya SUV
Nissan hapa aliingizwa Cha kike aisee
Sehemu kama Australia na Uarabuni huwaambi kitu kuhusu Patrol...wanazielewa sana...
Mwisho wa yote, naweza kusema LC na Patrol zinamudu mazingira magumu kuliko gari za Ulaya kama vile Range Rover
Tazama hapa mpaka mwisho.