Kuna mademu wana push machine za kibabe kuliko hiyo uliyo weka hapo 😀😀... hela ndio ubabe wa kila kitulevel zao lava4
Hapa watuache
Ila raia twaoneana wivu sana aisee.[emoji23][emoji23][emoji23] Yule aliamua kwenda nawakati alichukua mzigo wa 2019....angechukua kamaa hii Msukuma asinge'chonga Sana angekausha.
Kuna demu wa kawaida sana namfahamu anaendesha hii...ninaposema wa kawaida nieleweke..
www.beforward.comBei gani kama hiyo?
Nilisikiliza documentary Toyota walitumia zaidi ya miaka7 Hadi Kuja na hii chuma mwaka 2007 body ya SUVToyota na nissan patrol walikuwa wakishindana hapo kabla , toyota akitoa nissan naye anajibu, Ila ilipotoka hii ngoma nissan hakujibu kwa wakati alikuja kujibu baadaye sanaaa kwa kuchelewa na nissan v8 ya petrol na haikufanya vizuri,
+1
Hii model na mimi naikubali sana
Tulia mtoto.[emoji23][emoji23][emoji23]bila sponsor pembeni hawezi kutoboa