Hii ndiyo gari ya kiume Toyota hapa walifanikiwa sana 2007 hadi 2010

kuna demu namjua anaendesha FUSO TANDAM banaban nilipewa LIFT na hiyo gari tok IFAKARA kuja
mimi nikashuka tu MIKUMI nikasema nimeairisha safari nikmuacha akafe peke yake
kuna mademu wamepinda mkuu nilikuwa nsiki tu sifa zake akija na fuso lake mtaani enzi hizo DAR
 
Isije kuwa alikuwa anaendesha kawaida tu sema ndio vile wewe tena Mwanaume wa Dar
 
Huyu demu ukimiliki lazma uwe roho ngumu.
 
Gari imesimama sana hio! Japo sikuwahi kuipenda compared na ile 100 series...hadi ambapo walitoa facelifted ya 2016 ile.
 
We ulijuaje kama walikuwa wanajibizana ?
 
We ulijuaje kama walikuwa wanajibizana ?
Trend ya manunuzi Kati ya nissan patrol na land cruiser ilikuwa inakaribia sana hapo zamani, hata serikali ilikuwa inanunua gari hizi mbili katika uwiano unaokaribiana pia
Ila ilipotoka model hii ya land cruiser , nissan patrol zikaanza kupoteza mvuto na hata mauzo.,nakumbuka hii gari ikiingia nchini Miaka ya 2009 mwishoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…