Hii ndiyo hali ya Nishati ya Umeme katika Taifa letu

Hii ndiyo hali ya Nishati ya Umeme katika Taifa letu

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
1695534414087.png

Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022:
1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH
2.Pwani-635.7GWH
3.Arusha-413.9 GWH
4.Shinyanga-411.2 GWH
5.Tanga-408.7 GWH
6. Mwanza-344.5 GWH
7. Morogoro-307.5 GWH
8.Dodoma-249.3 GWH
9.Mbeya-231.5GWH
10.Mara-215.1 GWH
 
Ukikata umeme maeneo haya, unakuta haya maeneo yanaathirika sana kiuchumi,ni maeneo yenye viwanda na shughuli nyingi za kiuchumi
 
mbona mikoa yote yenye upinzani kila kitu wanaongoza. mikoa ya chama tawala ccm inayoongoza inashika mkia kwa kila kitu.
 
mbona mikoa yote yenye upinzani kila kitu wanaongoza. mikoa ya chama tawala ccm inayoongoza inashika mkia kwa kila kitu.
Umeleta hoja kubwa sana; kwa maoni yako Dar es Salaam ni mkoa wenye upinzani?
 
View attachment 2759178
Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022:
1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH
2.Pwani-635.7GWH
3.Arusha-413.9 GWH
4.Shinyanga-411.2 GWH
5.Tanga-408.7 GWH
6. Mwanza-344.5 GWH
7. Morogoro-307.5 GWH
8.Dodoma-249.3 GWH
9.Mbeya-231.5GWH
10.Mara-215.1 GWH
Kuna mikoa hapo ina vyanzo vyao vingine vya umeme havitegemei 100% Tanesco
 
WATANZANIA walipiga kelele nyingi sana baada ya januari na maharage na bodi mpya kuteuliwa wakapuuzwa sasa matokeo yameprove wamefeli vibaya nchi iko gizani

Aibu kwa samia na mamlaka yake ya uteuzi waliteuwa kimihemko badala ya kuangalia weledi ona sasa kamrudisha Mhandisi kuwa Mkurugenzi

Na bodi kaiweka Mwenyekiti mpya

Rais apunguze kuziba masikio 😕
 
View attachment 2759178
Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022:
1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH
2.Pwani-635.7GWH
3.Arusha-413.9 GWH
4.Shinyanga-411.2 GWH
5.Tanga-408.7 GWH
6. Mwanza-344.5 GWH
7. Morogoro-307.5 GWH
8.Dodoma-249.3 GWH
9.Mbeya-231.5GWH
10.Mara-215.1 GWH
Happ ndipo ninaona TANESCO wanatumika kama.chama.cha kisiasa.
 
WATANZANIA walipiga kelele nyingi sana baada ya januari na maharage na bodi mpya kuteuliwa wakapuuzwa sasa matokeo yameprove wamefeli vibaya nchi iko gizani

Aibu kwa samia na mamlaka yake ya uteuzi waliteuwa kimihemko badala ya kuangalia weledi ona sasa kamrudisha Mhandisi kuwa Mkurugenzi

Na bodi kaiweka Mwenyekiti mpya

Rais apunguze kuziba masikio 😕
... I assure you DPW won't be different! Baadaye atakuja kuandika kitabu na one of the issues "atakazosikitika sana" ni hiyo (unafiki?).
 
Kwani ni Megawatt au gigawatt!!?
Tanzania tumeshawahi kuzalisha angalau Gigawatt 5 tu!?
 
Halafu kuna watu wanaita Arusha kijiji.

Huwa wanaongozwa na chuki na wivu badala ya uhalisia.

Arusha huwezi iondoa kwenye top five katika jambo lolote lenye mchango mkubwa kwa Taifa.
 
nadhani iko covered 0.1 % nje ya grid
Lakini kabla ya grid walikuwa wanatumia umeme huo na uliwatosheleza hawakuwa na huu ujinga unaoendelea hivi sasa
 
Back
Top Bottom