Kuna mikoa hapo ina vyanzo vyao vingine vya umeme havitegemei 100% TanescoView attachment 2759178
Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022:
1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH
2.Pwani-635.7GWH
3.Arusha-413.9 GWH
4.Shinyanga-411.2 GWH
5.Tanga-408.7 GWH
6. Mwanza-344.5 GWH
7. Morogoro-307.5 GWH
8.Dodoma-249.3 GWH
9.Mbeya-231.5GWH
10.Mara-215.1 GWH
Njombe wana thermo toka Tanwat na Hydro kutoka Mission na watu binafsi,Mkuu kama mkoa gani?
1GWH= 1000MWHMtu anisaidie kugeuza GWh kuwa MW. Natanguliza shukrani.
Happ ndipo ninaona TANESCO wanatumika kama.chama.cha kisiasa.View attachment 2759178
Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022:
1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH
2.Pwani-635.7GWH
3.Arusha-413.9 GWH
4.Shinyanga-411.2 GWH
5.Tanga-408.7 GWH
6. Mwanza-344.5 GWH
7. Morogoro-307.5 GWH
8.Dodoma-249.3 GWH
9.Mbeya-231.5GWH
10.Mara-215.1 GWH
... I assure you DPW won't be different! Baadaye atakuja kuandika kitabu na one of the issues "atakazosikitika sana" ni hiyo (unafiki?).WATANZANIA walipiga kelele nyingi sana baada ya januari na maharage na bodi mpya kuteuliwa wakapuuzwa sasa matokeo yameprove wamefeli vibaya nchi iko gizani
Aibu kwa samia na mamlaka yake ya uteuzi waliteuwa kimihemko badala ya kuangalia weledi ona sasa kamrudisha Mhandisi kuwa Mkurugenzi
Na bodi kaiweka Mwenyekiti mpya
Rais apunguze kuziba masikio 😕
CCM ni kaburi la uhuru,kujitawala na fikra chanya.mbona mikoa yote yenye upinzani kila kitu wanaongoza. mikoa ya chama tawala ccm inayoongoza inashika mkia kwa kila kitu.
Lakini kabla ya grid walikuwa wanatumia umeme huo na uliwatosheleza hawakuwa na huu ujinga unaoendelea hivi sasanadhani iko covered 0.1 % nje ya grid