Hii ndiyo JamiiForums!!

Daaah!? kumbe maza'ako ni faiza Fox!?
 
Last edited by a moderator:
Kuna wakongwe humu wametukuu wanajifyatua akili tu humu sababu hatujuani.
 
Baba yangu pia yupo JF sijui jina analotumia wala ye hajui mi natumia ID gani, na wala sijaona tatizo lolote yeye kuwepo.
 
Mbona bado Sana humu Jamii forum ,mpaka kuna maraisi wa nchi nyingine humu sema tuuu huwa wanajitoa ufahamu si unajua wao some time huwa main topic
 



Kuna haja gani ya kuwa member na kujificha bora usiwe member in the first place..



Alafu tuwe waelewa mifumo ya taarifa inatumia protocols ....

Protocols zina syntax zake na standard conventions universally ndiyo sababu unaeza hack lakini utashikwa tu..

Sasa wewe upo hapa kujificha??

Really??

Think again baaana be civilized si vyema kufikiri ukiwa hauonwi ndiyo uwe uncivilized. ..


No offenses!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…