janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
​#tajaumriwako
Subiri nimuulize mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
​#tajaumriwako
nina 75 sasa MALCOM LUMUMBA.....
Nami Ndio babako mkubwa wa hapa jf....
nina 75 sasa MALCOM LUMUMBA.....
nina 75 sasa MALCOM LUMUMBA.....
Namimi jecha nipo
Jamani hivi utajisikiaje kukuta Mzazi wako yuko JF?
Kilichonikuta sitaki kusema kabisaaa.
Yani kuna mtu huwa namwonaga jukwaa fulani hivi kumbe daah ni Maza mkubwa yani.
Imenifanya nijiulize kama huyu yuko JF kweli Maza wangu atakosa kweli?
Tupo kitaa kwetu nilirudi kwa ajili ya harusi,
Sasa ile asubuhi tunapiga story na kina maza wadogo na wakubwa laptop ya Maza mkubwa ikanivutia nkasema ngoja niicheki ntoe ushamba.
Duuh sasa kuicheki kwenye browser hivi nakuta alikuwa Jamiiforums na Jina lake lina Display.
Pozi liliisha, nikaja kujua humu ndani kumejaa maajuza aisee.
Ila wanajitoaga ufahamu tu.
umekubali kijana...?
Haaahaaaaa,
Haya bwana.
umekubali kijana...?
Vikongwe tupo,tunawaangalia tu vijana mnavyo rukaruka kama popcon...