Hii ndiyo JamiiForums!!

Hii ndiyo JamiiForums!!

Tatizo watoto wengi wanajua mitandao ya kijamii ni kwa ajili ya kufanya uasherati,
Sasa wakiwakuta watu wazima mule wanashtuka wanajua na wao wana mawazo finyu kama wao,

Humu mpk viongozi wa dini wapo, so usishange dogo.
 
Jamani hivi utajisikiaje kukuta Mzazi wako yuko JF?
Kilichonikuta sitaki kusema kabisaaa.
Yani kuna mtu huwa namwonaga jukwaa fulani hivi kumbe daah ni Maza mkubwa yani.
Imenifanya nijiulize kama huyu yuko JF kweli Maza wangu atakosa kweli?

Tupo kitaa kwetu nilirudi kwa ajili ya harusi,
Sasa ile asubuhi tunapiga story na kina maza wadogo na wakubwa laptop ya Maza mkubwa ikanivutia nkasema ngoja niicheki ntoe ushamba.

Duuh sasa kuicheki kwenye browser hivi nakuta alikuwa Jamiiforums na Jina lake lina Display.
Pozi liliisha, nikaja kujua humu ndani kumejaa maajuza aisee.
Ila wanajitoaga ufahamu tu.







Sasa mal ndo unaleta hizi habari huku?si ungekaa kimya tu kuliko kuanza kunisema mama ako.
 
Back
Top Bottom