Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Vikongwe?
#TAJAUMRIWAKO
Nina 72
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikongwe?
#TAJAUMRIWAKO
Nina 72
Wewe ni binti mdogo saaaana.
Usitake ukubwa utapatwa na balaa.
Shauri yako
Heee....!
Malcom lumumba
Kwahyo ww nn kimekushangaza???
By the way kaka yako hapa nina 49
bro huku kujitoa ufahamu kwa wazee halafu wanajifanya watoto wadogo.
full usumbufu
Jamani hivi utajisikiaje kukuta Mzazi wako yuko JF?
Kilichonikuta sitaki kusema kabisaaa.
Yani kuna mtu huwa namwonaga jukwaa fulani hivi kumbe daah ni Maza mkubwa yani.
Imenifanya nijiulize kama huyu yuko JF kweli Maza wangu atakosa kweli?
Tupo kitaa kwetu nilirudi kwa ajili ya harusi,
Sasa ile asubuhi tunapiga story na kina maza wadogo na wakubwa laptop ya Maza mkubwa ikanivutia nkasema ngoja niicheki ntoe ushamba.
Duuh sasa kuicheki kwenye browser hivi nakuta alikuwa Jamiiforums na Jina lake lina Display.
Pozi liliisha, nikaja kujua humu ndani kumejaa maajuza aisee.
Ila wanajitoaga ufahamu tu.
Haya sawa.Haunaga adabu weye
Usimchungulie tena mama yako utapofuka atiiHaya sawa.
Usimchungulie tena mama yako utapofuka atii