Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wanalazimisha standard na private jet every day? Hata kama unafake life lazima uwe na pesa above the evarage mzee.Jamaa wana maisha magumu sana, hakuna kitu kigumu kama kulazimisha standard
Ha ha haJamaa wana maisha magumu sana, hakuna kitu kigumu kama kulazimisha standard
Ndiyo season yao ya kuchota fedha za bure, zinaliwa za walipa kodi.Mwakani tukijaliwa watasaidia sana kwenye kampeni za CCM
Pila wese la pididy jamaa hiyo rr angeiona kwenye youtubu tuWanalazimisha standard na private jet every day? Hata kama unafake life lazima uwe na pesa above evarage mzee.
Just enjoying the comments, hapa ndiyo sehemu ya walamba vumbi kuonyesha frustrations zao. Hatred is fvcking real.Hii ni Convoy ya Super Megarstar, Diamond Platnumz na Zuchu akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wakati wakielekea kwenye show kwa mashemeji zetu nchini Kenya.
View attachment 3170717View attachment 3170718View attachment 3170719View attachment 3170720
View attachment 3170721
View attachment 3170726
Pila wese la pididy jamaa hiyo rr angeiona kwenye youtubu tu
Just enjoying the comments, hapa ndiyo sehemu ya walamba vumbi kuonyesha frustrations zao. Hatred is fvcking real.View attachment 3170914