Hii ndiyo jeuri ya fedha! Check Convoy ya Diamond na Zuchu Uwanja wa Ndege Dar (JNIA) wakielekea kwenye show Kenya

Nilichochunguza humu wengi wenu mmejaa wivu na kujikatia tamaa kama ilivyo kwa vijana wengine wengi wa kibongo choka mbaya si ajabu ndinga moja tu hapo hilo li vxr ukoo wenu wote wakichanga hela hazifiki kulinunua
 
Anawakomesha haters.
Big time, yaani ukisoma comments zao utawaonea huruma. Burning inside with hatred, probably walikuwa na background ya middle class lakini wameishia kuwa walamba vumbi ila dogo aliyetokea Uswazi leo anasafiri kwa private jet na magari anayomiliki hata kwenye ndoto zao hayapo.
Uchawi si lazima utembee uchi usiku ukiwangia watu, hate hasa kwa wasiokufahamu ni aina nyingine ya uchawi.
The is no cure for the pain that they are enduring.
 
Yan fukara anakomesha mafukara ? [emoji23][emoji23]
*****, mmeshawaona wenye hela nyie mamburula...unanunua gari copy ya RR unasema una hela..
Na lugumi tusemeje sasa
Jizungumzie wewe, kwani Lugumi yuko kwenye kundi la haters hapa.
Hii ni Diamond vs his haters.
Yaani huyo hater aonyeshe anavyomiliki ili kama kamzidi Diamond ndiyo tutaamini hiyo hatred aliyonayo haisababishwi na kufeli kwake kimaisha.
Umasikini + chuki kwa watu waliokuzidi kiuchumi ni sumu inayotafuna moyo painfully.
 
Sina chuki huo ndio ukweli diamond ni fukara tu kama mafukara mengine. Drug addict for that fucking matter...una convoy ya gari 5 unajiita tajiri..fools.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…