Hii ndiyo list ya international Collabo za Alikiba

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Habari wakuu! Mpaka sasa hizi ndo jumla ya collabo za Alikiba zilizokamilika na zilizopo jikoni.

1.Christian Bella X Alikiba
Jina la wimbo ni "Nagharamia"
Owner wa collabo wote 2 Bella na Kiba
Completed Audio, Audio imekuwa produced na producer Abdady wa chaders Records (Producer wa Chekechacheketua). Weekend hii ndo video inashutiwa South Africa chin ya director wa kimataifa Mejilabi. Muda wa release ni week ijayo.

2.Alikiba X Fally Pupa
Completed Audio & Video, Muda wa release ni mwisho wa mwanzon wa mwez wa 9, Hii ni officially project ya Kiba kwa mujibu wa time table ya management ya Alikiba ya Rockstar4000.

2.Davido X Alikiba
Owner wa collabo ni Davido ila kiba yupo featured tu, Pia ni project officially ya Davido, uncompleted project. Muda release ni September mwishoni.

3.Alikiba X Iceprence
Owner ni Alikiba, Audio ipo completed, imefanyika nchin Kenya.
Muda wa release bado haujalikana but its within this year na kadri management ya Alikiba #Rockstar4000 itakavyoamua kulingana na Time Table yao.

4.Saut Sol X Alikiba
Owner of collabo ni Saut sol na Kiba yupo featured, Audio ipo completed na imerokodiwa juzi usiku Kenya, Video bado.

5.Alikiba X Wizkid
Audio is uncompleted, lakin maandalizi ya kila kitu yapo tayari kilicholewesha ni complicated time table ya show za Wizkid ambaye anatarajia kuanzia Odjuelgba Tour barani Africa, Inategemewa Audio kuwa produced Tanzania katika season ya Tour ya Wizkid.

5.Alikiba X Neyo ( coke studio)
Ni project 2 , moja ni ya Cokestudio team, Neyo also Alikiba is included lakin pia baada ya cokestudio itaachiwa officially kwenye media.

6.Alikiba X Neyo.
Audio completed., ni ofically kiba project, Hii pia kuwa released inategemeana na time table za management ya kiba Rockstar4000

7.Alikiba X Stanley ( Cameroon Rapper)
Project ni ya kiba as a owner, japokuwa wote wapo chin ya Rockstar4000. Hii ndiyo takuwa funga na fungua mwaka ya colabo za kiba.

#KingKiba
#Rockstar4000 presents
 
Ngoja na mie niziorodheshe international collaboration alizozifanya Kingwendu nitarudi sasa hivi
 

Mkuuu ni kwelii?
 
Izo collabo ni soo,
Ngoja tukae mkao wa kuzisubiri zitatubamba vp
 

Christina Bella wimbo n wa Bella we, davido * Ali kiba iyo kolabo haiwezi toka Leo wala kesho kutwa unajua kwann davido album yke kila cku Ana harisha kutoa n alisema anatoa collabo na wiz kid davido anafanya vitu to get attention, Ali kiba ft wiz kid, wiz kid hamfahamu kiba sasa cjajua walifanya vepee collabo, neyo ft kiba collabo walirekodia chumbani au maana picha zao zote wapo chumbani n kiba alienda na mp3 kumcikilizisha nyimbo zke ila neyo hakumpenda
 
Nimesha ona ni kwelii.... hizo zote ni mzigo wa kibaa.
Wew huwezi kujua maana una chuki na kiba.
Pepo tooooooka

Y niwe na chuki na kiba niletee picha kiba akiwa studio na neyo zaidi ipo wakiwa chumbani na kiba alienda kumsikilizisha nyimbo zke halafu kufanya kazi na neyo inabidi management yke iwepo pia sio neyo tu sema bado wanaongea na neyo cjui km atakubali
 
Y niwe na chuki na kiba niletee picha kiba akiwa studio na neyo zaidi ipo wakiwa chumbani na kiba alienda kumsikilizisha nyimbo zke halafu kufanya kazi na neyo inabidi management yke iwepo pia sio neyo tu sema bado wanaongea na neyo cjui km atakubali

Huna FACT wewe. Unagwaya gwaya tuu...
Hata hivyo siku hizi sibishani na watu kuhusu kiba maana mnabishaga ukweli.
Vipi kiba ni wa local bado?
Hahahaaaaaa huwezi yazuia mafuriko kwa mkono kakojoe uende shule
 
Huna FACT wewe. Unagwaya gwaya tuu...
Hata hivyo siku hizi sibishani na watu kuhusu kiba maana mnabishaga ukweli.
Vipi kiba ni wa local bado?
Hahahaaaaaa huwezi yazuia mafuriko kwa mkono kakojoe uende shule

Kiba ni new artist international sema bado MTV wala bet hawamjui ndo maana kuna tuzo wamewekwa category moja na dimpoz ya new artist of the year
 

ww umejuaje kama wizkid amjui kiba?
 
Wewe usivo mkubali kiba hata siku moja huwezi kukubali jema la kiba labda la domo tu. Mana unaeleza ka ndo menejiment yake. Hyo collabo na Bella Jana kaojiwa na Eatv e newz kasema ni collabo ya wawili every thing is ready ndo wanaenda Ku shoot video south Africa week ijayo. According to christian bella
 

Me cmshukii kiba ndo hata na nyimbo zke me naongea ukweli tu
 

Attachments

  • 1440143275534.jpg
    35.7 KB · Views: 405
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…