AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Habari wakuu! Mpaka sasa hizi ndo jumla ya collabo za Alikiba zilizokamilika na zilizopo jikoni.
1.Christian Bella X Alikiba
Jina la wimbo ni "Nagharamia"
Owner wa collabo wote 2 Bella na Kiba
Completed Audio, Audio imekuwa produced na producer Abdady wa chaders Records (Producer wa Chekechacheketua). Weekend hii ndo video inashutiwa South Africa chin ya director wa kimataifa Mejilabi. Muda wa release ni week ijayo.
2.Alikiba X Fally Pupa
Completed Audio & Video, Muda wa release ni mwisho wa mwanzon wa mwez wa 9, Hii ni officially project ya Kiba kwa mujibu wa time table ya management ya Alikiba ya Rockstar4000.
2.Davido X Alikiba
Owner wa collabo ni Davido ila kiba yupo featured tu, Pia ni project officially ya Davido, uncompleted project. Muda release ni September mwishoni.
3.Alikiba X Iceprence
Owner ni Alikiba, Audio ipo completed, imefanyika nchin Kenya.
Muda wa release bado haujalikana but its within this year na kadri management ya Alikiba #Rockstar4000 itakavyoamua kulingana na Time Table yao.
4.Saut Sol X Alikiba
Owner of collabo ni Saut sol na Kiba yupo featured, Audio ipo completed na imerokodiwa juzi usiku Kenya, Video bado.
5.Alikiba X Wizkid
Audio is uncompleted, lakin maandalizi ya kila kitu yapo tayari kilicholewesha ni complicated time table ya show za Wizkid ambaye anatarajia kuanzia Odjuelgba Tour barani Africa, Inategemewa Audio kuwa produced Tanzania katika season ya Tour ya Wizkid.
5.Alikiba X Neyo ( coke studio)
Ni project 2 , moja ni ya Cokestudio team, Neyo also Alikiba is included lakin pia baada ya cokestudio itaachiwa officially kwenye media.
6.Alikiba X Neyo.
Audio completed., ni ofically kiba project, Hii pia kuwa released inategemeana na time table za management ya kiba Rockstar4000
7.Alikiba X Stanley ( Cameroon Rapper)
Project ni ya kiba as a owner, japokuwa wote wapo chin ya Rockstar4000. Hii ndiyo takuwa funga na fungua mwaka ya colabo za kiba.
#KingKiba
#Rockstar4000 presents