Hii ndiyo list ya international Collabo za Alikiba

Sio akili za konzi wasanii ambao wanajuana always huwa wana mfollow ndo maana davido baada ya kutangaza collabo ya uongo na kiba aka mfolow

Ngoja nikuulize swali... neyo anamjua kiba au hamjui...
R kel anamjua kiba au hamjui?
 
Jamaa kuwa serious katika kureport vitu vya Ali kiba maana 90 percent ni uongo. Mnamchoresha jamaa.
 
Hebu ngoja hapa tufanye hivii maana hawa wanatishia kujamba wakati wanaharisha, kuna mamia ya mamilioni kadhaa yashaaingia kunako akaunti kutoka chamani,wakati tunasubiria shoo kama 5 ktk tuzo tofauti na kuna tuzo zimeshachukuliwa zinasubiriwa kupewa tu achana na vishoo vya gafla kama vya jana ndani ya Nairobi au vile vya nje ya ratiba na wala sina sababu ya kuwaorodheshea collabo zilizofanyika ambazo si chini ya 4 zikiwa na video tayari.
 
acha uongo kedrick utasutwa
 
Last edited by a moderator:
Y niwe na chuki na kiba niletee picha kiba akiwa studio na neyo zaidi ipo wakiwa chumbani na kiba alienda kumsikilizisha nyimbo zke halafu kufanya kazi na neyo inabidi management yke iwepo pia sio neyo tu sema bado wanaongea na neyo cjui km atakubali
duu nimekuvulia kofia ww jamaa
 
nenda insta utaona wiz kid haja mfollow ali kiba
we unaongea sana pumba kwahiyo kufollow mtu ndo kujuana basi kiba na magufuli hawamjui hata mtu mmoja tz we jamaa unachuki za waziwazi kwa kiba kedrick
 
Last edited by a moderator:
Hasira zao, furaha yetu.
Tunasubiri kwa hamu...
hivi nagharamia ulishawahi kuiskia hata kipande ??? ni balaa lile bella kamfunika king wetu aisee yule jamaa ni hatarii
 
hivi nagharamia ulishawahi kuiskia hata kipande ??? ni balaa lile bella kamfunika king wetu aisee yule jamaa ni hatarii

Nisikilize wapi? Halafu kuna issue nakutumia pm sasa hivi unijibu maana......
 
hivi nagharamia ulishawahi kuiskia hata kipande ??? ni balaa lile bella kamfunika king wetu aisee yule jamaa ni hatarii

Nauomba huo wimbo pwilo nione king wetu alivyofunikwaaa hahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…