nenda insta utaona wiz kid haja mfollow ali kiba
Sasa kwani kumfollow mtu ndio kumjuaa? We akili zako na skonzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda insta utaona wiz kid haja mfollow ali kiba
Sasa kwani kumfollow mtu ndio kumjuaa? We akili zako na skonzi
Sio akili za konzi wasanii ambao wanajuana always huwa wana mfollow ndo maana davido baada ya kutangaza collabo ya uongo na kiba aka mfolow
huamini subiri rockstar wakasirikeMkuuu ni kwelii?
acha uongo kedrick utasutwaChristina Bella wimbo n wa Bella we, davido * Ali kiba iyo kolabo haiwezi toka Leo wala kesho kutwa unajua kwann davido album yke kila cku Ana harisha kutoa n alisema anatoa collabo na wiz kid davido anafanya vitu to get attention, Ali kiba ft wiz kid, wiz kid hamfahamu kiba sasa cjajua walifanya vepee collabo, neyo ft kiba collabo walirekodia chumbani au maana picha zao zote wapo chumbani n kiba alienda na mp3 kumcikilizisha nyimbo zke ila neyo hakumpenda
duu nimekuvulia kofia ww jamaaY niwe na chuki na kiba niletee picha kiba akiwa studio na neyo zaidi ipo wakiwa chumbani na kiba alienda kumsikilizisha nyimbo zke halafu kufanya kazi na neyo inabidi management yke iwepo pia sio neyo tu sema bado wanaongea na neyo cjui km atakubali
huamini subiri rockstar wakasirike
rockstar wamesema kuanzia mwezi wa tisa na kuendelea wanakasirika wameshachoka kudharauliwaHebu wakasirike tuu watushushiee mautamuuu
rockstar wamesema kuanzia mwezi wa tisa na kuendelea wanakasirika wameshachoka kudharauliwa
hivi nagharamia ulishawahi kuiskia hata kipande ??? ni balaa lile bella kamfunika king wetu aisee yule jamaa ni hatariiHasira zao, furaha yetu.
Tunasubiri kwa hamu...
hivi nagharamia ulishawahi kuiskia hata kipande ??? ni balaa lile bella kamfunika king wetu aisee yule jamaa ni hatarii
haya welcome pm kuna siku zabibu alikituma instaNisikilize wapi? Halafu kuna issue nakutumia pm sasa hivi unijibu maana......
haya welcome pm kuna siku zabibu alikituma insta
hivi nagharamia ulishawahi kuiskia hata kipande ??? ni balaa lile bella kamfunika king wetu aisee yule jamaa ni hatarii
kweli kuna matusi sana kuleTayari, mie siku hizi insta haina issue kumejaa wahuni tu.