LGE2024 Hii ndiyo maana ya Kifua Kipana cha Waziri Mchengerwa?

LGE2024 Hii ndiyo maana ya Kifua Kipana cha Waziri Mchengerwa?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Na mchawi wa kwanza ni mchengerwa na wahuni wahuni wenzake wanaokata majina ya wagombea wa upinzani bila ya kuzingatia sheria yoyote wala kanuni ndiyo maana wanashindwa kutoa hata sababu na wengine wanaamua kufunga ofisi na kuwakimbia wagombea.

Alaaniwe Mchengerwa na waovu wenzake, na vizazi vyao, kwa maana waovu hawa hawakuwahi kuijua haki , na mioyo yao imetawaliwa na uovu mtupu.
mihemko isiyo na tija ni ushirikina gentleman. hakuna unaweza badili kwa ghadhabu hewa 🐒
 
mihemko isiyo na tija ni ushirikina gentleman. hakuna unaweza badili kwa ghadhabu hewa 🐒
Uko sahihi mkuu tena kwakuwa tangu uchanguz wa 2020 ndo kumekuwa na wimbi kubwa la wagombea wa upinzani kukosea kosea ilitakiwa vyama hivyo vifutwe kibaki ccm tuu.Nimesema hivyo kwasababu makosa hayo yalitakiwa yajitokeze kwa wingi saana kwenye chaguzi za 2005 kurudi nyuma ambako idadi ya wasiojua kusoma na kuandika ilikuwa kubwa saana.Badala yake kipindi hiki ambacho idadi ya wanaojua kusoma na kuandika ndo wanafanya madudu kama hayo. Ila sasa kama wananchi ambao ndo mashuhuda wa ukweli ulioko kwenye mchakato wa uchaguz watasema hao waliokatwa majina wameonewa hiyo ni isue nyingine.Maana itakuwa kama ndo wameonewa wao.Kwahyo kama wakiona hivyo hatuwez jua wao watawawazia nini na kuwafanya nin hao watakao waona kama waonevu wao.
 
Back
Top Bottom