Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Kuna mdau hapa anatuambia Kuna vidonge vinaitwa vega ni hatari kwenye suala zima la kugegeda.
#BiasharaMatangazo.
 
Mleta Uzi jifunze kufanya mapenzi hutaangaika na hayo makitu...huyo mrembo alikuwa anafake orgasm tu kila akikumbuka ile account yako unless otherwise ulimuumiza tu mrembo wa watu.
 
Nyie tumieni tu vumbi/mundende/kasongo alaf iwaharibu kabisa izo nguvu chache mliokonazo alaf nguvu zikiisha kabisa sjui mtafanyaje mana ata ukimuomba mshkaji wako akupunguzie nguvu hawez kukubali mana kila mtu ana kazi nazo sana[emoji23][emoji23]

nikipiga game dakika 20-30 inatosha kabisa wala staki mkongo ili nipige masaa 2?
 
Tatizo hawa jamaa wanaopaka vumbi wakigegeda kwa masaa 5 wanajitengenezea jina, siku kamdada kakikutana na asiyetumia vumbi anamuona bure kabisa kumbe aliyepaka vumbi ndio hana jambo[emoji17]

Mimi naomba wanaopaka vumbi washtukizwe mechi wajichanganye waende pasi na kupaka wapige show mbovu kabisa wanaume tubaki salama, la sivyo vibovu vitaitwa vizima na vizima vitaitwa vibovu
[emoji23]
 
Vumbi halina madhara hata kidogo msirie watu wasiwasi. Hata ukipaka colgate tu na yenyewe inafanya kazi kama vumbi japo efficiency yake ndogo. Ila vumbi ni noma. Mm nimepaka jana nina mech leo
 
Vumbi halina madhara hata kidogo msirie watu wasiwasi. Hata ukipaka colgate tu na yenyewe inafanya kazi kama vumbi japo efficiency yake ndogo. Ila vumbi ni noma. Mm nimepaka jana nina mech leo
[emoji38]
 
Baba mzazi vumbi limeniumbua kaka, nlikubishia nikaliapply nikiwa nimepewa miadi na dem ya kwenda kumla. Sasa ratiba zikaingiliana ikabidi nimwambie tuahirishe, naye hakuws na hiyana maana nlikuwa na external auditors toka ofisi ya cag so nlikuwa kwenye kikaango. Basi bwana nimeshinds nalo nikalala nalo nikaamka nalo sikujihangaisha maana kwa shemeji yenu nishadign out kitambo so huwa sihangaiki naye. Basi mida yaa saasita kesho yake nikawa nishaingia naye room. Tumeandaana taratiiib kama dk45 hivi nikapanda kifuani. Nimepeleka moto dakika zaidi ya 40 bao la kwanza halitoki, mbaya zaidi tanesco nao walifanya yao mji mzima siku hiyo kwa hiuo ilikuwa full kuogeshana majasho. Dem kaloana mm nimeloana. Nikakimbilia bafuni fsster huku mnara unasoma 5g. Nikarudi tukapumnzika km dk 30 huku nikimwandaa kwa round ya 2, nimegonga mechi karibu lisaa tena hola....... hamna wazungu, yaan kitu full ganzi hata raha hamna tena. Ganzi ikaanza kupungua nlivoanza round ya 3 tushasuguana mikao yote hamna bao. Saa ya tatu dem keshapiz vyake vimeishs ndo nasikia kwa mbaaaaaaali utam unakuja na kukata nikaongeza speed baadae wazungu hao.
Nlivochomoa bolo dem dakika tano nyingi aliangisha bonge la usingizi huku amenikumbatia kwa ngivu. Yaan alilala namwambia amka jikupeleke home hata haongei
 
Kichwa cha habari chahusika.

Ni msichana niliyekua namzimia sana sana tangu tupo chuo nampiga verse anakataa katu katu ila kidume sikukata tamaa. Msichana huyu alikua mkali sana yani hadi nilipowaambia watu namtongoza, wakawa wakinikejeli kuwa siyo hadhi yangu.

Tulipomaliza chuo, kila mtu kaenda na mishe zake tukawa tukiwasiliana kidogo kidogo huku niki mu insist bado nampenda sana ila akawa ananitolea nje.

Bahati nzuri mambo yakaniendea vizuri, biashara zikawa hoya hoya nikaanza kumsahau sahau.

Mwezi huu wa 10 mwanzoni, nikawa nimefunga business zangu manzese mapema sana saa tisa, nikaenda ku withdraw pesa benk kwa ajili ya kuituma kwa Western Union ili iende china kwa ajili ya kuleta mzigo. Nilikwenda bank ya CRDB kufanya muamala huo. Kutokana na kiasi cha pesa ni kikubwa kiasi, Nilikwenda ku withdraw ndani na nikaangukia kwa yule mrembo niliyekua nikimpenda. Alikua ndo teller wa kunipa huduma.

Mwanzo aliponiona, alinipokea kawaida tu kwa majibu ya short as usual nikasema isiwe kesi, anihudumie nisepe. Baada ya sijui kusoma balance yangu na kuona kiwango nachotaka ku withdraw, akaanza kunipa tabasamu huku akiniambia, 'Mjina umenisusa siku hizi'. Sikumpa attention sana akanipa changu nikasepa.

Baada siku mbili hivi, akaanza nitext... Kwakua Mjina haringi, basi nilimjibu vizur tu na baadae km siku mbili hivi nilipoona kaniganda sana kwa chatting, ikabidi nirudishe mistari mtoto kajaa nyavuni. Show ikapangwa iwe Jumamosi ya Tarehe****. Kwakua alikua kanitesa sana, nilidhamiria nimpige show ambayo hakuwahi kuipata.

Nilinunua dust of congo kile kichupa cha 40,000/-. Kisha nikawahi Lodge 3 hours before nikapaka dust of congo ya kutosha kisha nikamwagiza jamaa wa uber niliyemkuta pale maeneo akamchukue pale sinza kwa remi amlete Mbezi Beach nilipo kisha nikalala dawa ipenje.

Mtoto alipofika alinipigia simu kisha nikamtuma mhudumu amwelekeze. Akaja tukaoga tukala. Show ilianzwa 1800hrs. Nilipomvua nguo yule mrembo, mwili unanisisimuka kwa urembo wake. Ni mweupe kiasi, ngozi laini, chuchu saa sita yani umbo zuri kama lote. Hiyo sura sauti na nywele ndo usiseme. Nimepiga show, show, show, show bila wazungu kutoka. Ikumbukwe, vumbi la congo linaipa ganzi mashine hivyo ni ngumu kukojoa.

Nimepiga show hadi saa mbili ndipo napata goli la kwanza wakat mtoto kashayapiga ya kutosha. Nimempiga show kutafuta goal number 2 bila mafanikio. Yule mtoto alikua akipata utamu wote hadi akawa akilia 'Mjina kwani ulikua wapi muda wote, kwanini sikujua mapema nikakukubalia'

Kwa hakika hadi tunamaliza show majira ya saa tano, nilikua nimepiga goli moja tu. La pili lilikataa kabisa japo bado nilikua natamani kuendelea. Ilibidi tufunge show maana mtoto alikojoa hadi papuch ikawa imeanza kukauka nikaona namchubua tu bure.

Nili mind sana maana sikumfaidi coz utamu sikupata sababu ya ganzi ya vumbi la kongo. Nilimpa 20,000 yule mrembo na kumpeleka hadi Sinza kisha nikarudi zangu home Mbezi. Vumbi la kongo ni la kijinga na halikupi ladha ya penzi bali mwanamke ndo ana enjoy. Nimelitumia mara moja, na sitokaa nilitumie tena.

Mjina Mrefu...
Mahela yote hayo unampa mtoto tunoti tuwili TU?
 
Mleta Uzi jifunze kufanya mapenzi hutaangaika na hayo makitu...huyo mrembo alikuwa anafake orgasm tu kila akikumbuka ile account yako unless otherwise ulimuumiza tu mrembo wa watu.
Karibu nikupakie vumbi
 
Vijanaa wa Sasa tukifikisha miaka 45 kwenda juu wengine watakuwa hawasimamishi kutokana na matumizi makubwa ya haya madawa kwani yanaadhiri sana misuli huifosi kupitisha damu kwawingi mwishowe misuli italegea kabisa na Tutabakia Kuwa wapenzi Watazamaji Tujihadhari sana na hizi dawa za kuboost zitalala yooooo mapemaa sanaaa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Vijanaa wa Sasa tukifikisha miaka 45 kwenda juu wengine watakuwa hawasimamishi kutokana na matumizi makubwa ya haya madawa kwani yanaadhiri sana misuli huifosi kupitisha damu kwawingi mwishowe misuli italegea kabisa na Tutabakia Kuwa wapenzi Watazamaji Tujihadhari sana na hizi dawa za kuboost zitalala yooooo mapemaa sanaaa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hakika
 
Back
Top Bottom