Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Kazi ya Vumbi la mkongo ni kuua Ganzi.
So ikipakwa kwenye Uume , basi uume unakufa ganzi, na unakuwa hauhisi chochote.

So kama ukipakwa kwenye kichwa cha uume (ambacho kinaleta msisimko) basi ule msisimko hauhusikii,
So kama ni kufika mshindo basi unatumia hisia zako na sio ile raha ya kuhis joto/utamu wa ukeni.

Ila Sasa ukipaka kwa wingi basi hata ule Uume wenyewe hauwez kuusikia kama upo pale.
Na shida inaanzia hapo. Utadindisha na utashoka na hutafika.

Ila ukipaka kidogo tu, bas utasikia msisimko kwa mbali.

Wazungu wanazo dawa zinafanya kazi ya delay ejaculation na ni legal kabisa kuuzwa pharmacy.
Na unatakiwa upake Masaa mangap kabla ya kunyandua ? Na inapakwa kwenye ringi LA kichwa au kichwa chote ?

Nataka nikaijaribu mkuu

Na je manzi asipotekea haina madhara ?
 
Mwanangu kama ulibakisha vumbi kidogo nije kulifuata nina game jumamosi na uwa nakojoa mapema sana nikiwa na mitoto mizuri. Njoo PM tuyajenge
Wee njoo pm nikuuzie vumbi la Congo original kwa bei poa
 
Kichwa cha habari chahusika.

Ni msichana niliyekua namzimia sana sana tangu tupo chuo nampiga verse anakataa katu katu ila kidume sikukata tamaa. Msichana huyu alikua mkali sana yani hadi nilipowaambia watu namtongoza, wakawa wakinikejeli kuwa siyo hadhi yangu.

Tulipomaliza chuo, kila mtu kaenda na mishe zake tukawa tukiwasiliana kidogo kidogo huku niki mu insist bado nampenda sana ila akawa ananitolea nje.

Bahati nzuri mambo yakaniendea vizuri, biashara zikawa hoya hoya nikaanza kumsahau sahau.

Mwezi huu wa 10 mwanzoni, nikawa nimefunga business zangu manzese mapema sana saa tisa, nikaenda ku withdraw pesa benk kwa ajili ya kuituma kwa Western Union ili iende china kwa ajili ya kuleta mzigo. Nilikwenda bank ya CRDB kufanya muamala huo. Kutokana na kiasi cha pesa ni kikubwa kiasi, Nilikwenda ku withdraw ndani na nikaangukia kwa yule mrembo niliyekua nikimpenda. Alikua ndo teller wa kunipa huduma.

Mwanzo aliponiona, alinipokea kawaida tu kwa majibu ya short as usual nikasema isiwe kesi, anihudumie nisepe. Baada ya sijui kusoma balance yangu na kuona kiwango nachotaka ku withdraw, akaanza kunipa tabasamu huku akiniambia, 'Mjina umenisusa siku hizi'. Sikumpa attention sana akanipa changu nikasepa.

Baada siku mbili hivi, akaanza nitext... Kwakua Mjina haringi, basi nilimjibu vizur tu na baadae km siku mbili hivi nilipoona kaniganda sana kwa chatting, ikabidi nirudishe mistari mtoto kajaa nyavuni. Show ikapangwa iwe Jumamosi ya Tarehe****. Kwakua alikua kanitesa sana, nilidhamiria nimpige show ambayo hakuwahi kuipata.

Nilinunua dust of congo kile kichupa cha 40,000/-. Kisha nikawahi Lodge 3 hours before nikapaka dust of congo ya kutosha kisha nikamwagiza jamaa wa uber niliyemkuta pale maeneo akamchukue pale sinza kwa remi amlete Mbezi Beach nilipo kisha nikalala dawa ipenje.

Mtoto alipofika alinipigia simu kisha nikamtuma mhudumu amwelekeze. Akaja tukaoga tukala. Show ilianzwa 1800hrs. Nilipomvua nguo yule mrembo, mwili unanisisimuka kwa urembo wake. Ni mweupe kiasi, ngozi laini, chuchu saa sita yani umbo zuri kama lote. Hiyo sura sauti na nywele ndo usiseme. Nimepiga show, show, show, show bila wazungu kutoka. Ikumbukwe, vumbi la congo linaipa ganzi mashine hivyo ni ngumu kukojoa.

Nimepiga show hadi saa mbili ndipo napata goli la kwanza wakat mtoto kashayapiga ya kutosha. Nimempiga show kutafuta goal number 2 bila mafanikio. Yule mtoto alikua akipata utamu wote hadi akawa akilia 'Mjina kwani ulikua wapi muda wote, kwanini sikujua mapema nikakukubalia'

Kwa hakika hadi tunamaliza show majira ya saa tano, nilikua nimepiga goli moja tu. La pili lilikataa kabisa japo bado nilikua natamani kuendelea. Ilibidi tufunge show maana mtoto alikojoa hadi papuch ikawa imeanza kukauka nikaona namchubua tu bure.

Nili mind sana maana sikumfaidi coz utamu sikupata sababu ya ganzi ya vumbi la kongo. Nilimpa 20,000 yule mrembo na kumpeleka hadi Sinza kisha nikarudi zangu home Mbezi. Vumbi la kongo ni la kijinga na halikupi ladha ya penzi bali mwanamke ndo ana enjoy. Nimelitumia mara moja, na sitokaa nilitumie tena.

Mjina Mrefu...
Pole sana ushauri wangu ni kwamba siku nyingine ukinunua dawa dukani usisahau kusoma maelekezo nje ya boksi. Jivu la Kongo ni la kuchelewesha kufika kileleni. Na limefanya kazi kwako vizuri kupindukia. Mimi nilidhani unalalamika kwamba ulitapika mara baada ya kunusa tuu kumbe ilikuchukua masaa matatu! Hebu kijana kuwa na shukrani. Utamu wa pilipili ni kuwasha.
 
Dah hii teknolojia mkongo katuingiza king. Mi mwenyewe niliwahi kuitumia, yaani nimeanza kupiga game movie ya Acrimony ya Taraji kwenye pc ndo kwanza ina dk 7 imeanza eti nimekuja kupiga bao la kwanza movie inaisha inaandika majina ya washirika. Kiukweli sikufaidi na niliapa sirudii tena
 
Mimi huu utopolo sijawahi kuutumia
 
Mi nadhani wadau wanakosa semina elekezi jinsi ya kutumia hii kitu mkombozi. Na hili ni kosa la wauzaji/supplier.
Nikiwa km muuzaji na mtumiaji/tester nambari wani naomba nitoe muongozo japo kwa ufupi.

[emoji1542]Ni hivi, kabla hujaingia trafodi... unajipaka lile vumbi juu ya silinda hedi kidogo tuu poti (yani kidogo sanaaa!). Halafu unajifunga na kinailoni ili hewa isifike pale eneo la tukio.
Hapo sasa unajipimia muda wa kudumu kwenye mtanange. Ukikaa nayo zaidi ya saa 2-3 utambue kabisa kua utatumia hadi dk45 kufika mshindo wa kwanza (hii inategemea na ubora wa mwanamke).Nakushauri usikae nayo sana
Ili ufurahie tendo.
[emoji1542]Ukihisi km inanyandua flani hivii usiogope ndio ganzi inajiaplai.
Baada ya muda wako kufika unajifuta fresh ili usigundulike mzee then unaenda kufanya maangamizi.[emoji1417]

[emoji1542]Kama wewe sio chovyachovya, kichupa kimoja utadumu nacho hadi miezi 3+.

[emoji879]ANGALIZO[emoji879]
[emoji3544]usitumie hii kitu kwa minajili ya kumkomoa mwanamke, utajiumiza mzee!
[emoji3544]usitumie km unaenda kumdinya kahaba/changu maana utachelewa kukojoa matokeo yake utavua kondomu ili usevu muda.
[emoji3544]usitumie hii kitu halafu ukapige punyeto bwana mdogo, hakika utakufa!
[emoji3544]ukipaka halafu mwanamke akakunyima, usifosi. Nenda kaoge na sabuni kisha jipumzishe
Au kanywe bia.
[emoji3544]Bei ya vumbi inatofautiana, Sie huku unguja tunauziana 5k, ila ukija kiboya nakuuzia hadi 10k kwa kichupa. Maswala ya madhara madokta watashughurikia huko. Sie twaamsha popo hatuna habari.
 
Nataka kuwaagiza jamaa walete ile ya kupaka niwauzie wadau mnaotaka kukomoa K!!
 
Baada ya kujipaka na kukaa mda mchache ukijifuta unajifuta na maji ?

Hivi ni kwel hakuna utamu wowote utaskia ukitumia mkongo ?
 
Kabla sijaendelea, una uhakika siijui Puturu vizuri na ufanyaji kazi wake?

Unajua ganzi ni nini hasa?

Jinsi gani Vumbi la kongo inafanya kazi?

Vumbi la Kongo maarufu Puturu inapakwa au kutiwa katika kichwa cha uume muda mfupi kabla ya kusex. Puturu inachofanya ni kuzuia KABISA bloodflow au mzunguko wa damu kufika katika mishipa ya kichwa cha uume.

Imagine uzuie tu damu kufika katika kidole completely hata kwa nusu saa...sembuse katika uume kwa masaa manne??? Kumbuka uume ni kiungo chenye asili ya kuwa na damu nyingi haswa inaposimama.

Wewe subiri tu miaka michache tu ijayo utasikia madhara yake.
Total wrong hiyo mechanism haipo na haijawahi tokea since the beginning of universal
 
Baada ya kujipaka na kukaa mda mchache ukijifuta unajifuta na maji ?

Hivi ni kwel hakuna utamu wowote utaskia ukitumia mkongo ?
utamu unapatikana mwishoni kabisa lakini show inapigika kweli kweli
 
Baada ya kujipaka na kukaa mda mchache ukijifuta unajifuta na maji ?

Hivi ni kwel hakuna utamu wowote utaskia ukitumia mkongo ?
Unajifuta hata na maji mzee haina tatizo. Ila kwakua ulipaka kidogo,unaweza futa hata na kitambaa au ukaacha boxer ifute automatic
 
Unajifuta hata na maji mzee haina tatizo. Ila kwakua ulipaka kidogo,unaweza futa hata na kitambaa au ukaacha boxer ifute automatic
Ngoja niitafute kwahyo mzee hapo cha Kwanzaa almost lisaa 1 ?

Hivi kama ndo hvyo Nina dozi ya malaria hii dawa haitaniua kwel ?
 
Back
Top Bottom