Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Kabla sijaendelea, una uhakika siijui Puturu vizuri na ufanyaji kazi wake?

Unajua ganzi ni nini hasa?

Jinsi gani Vumbi la kongo inafanya kazi?

Vumbi la Kongo maarufu Puturu inapakwa au kutiwa katika kichwa cha uume muda mfupi kabla ya kusex. Puturu inachofanya ni kuzuia KABISA bloodflow au mzunguko wa damu kufika katika mishipa ya kichwa cha uume.

Imagine uzuie tu damu kufika katika kidole completely hata kwa nusu saa...sembuse katika uume kwa masaa manne??? Kumbuka uume ni kiungo chenye asili ya kuwa na damu nyingi haswa inaposimama.

Wewe subiri tu miaka michache tu ijayo utasikia madhara yake.
Ha! Kumbe unaweza choma sindano ya ganzi kwenye uume, huu utakuwa mbadala kwa wale wasio na access na vumbi
 
Karanga tu ndo natumia kiasi kama robo masaa manne hivi kabla. Na lita mbili za maji nikiwa kwenye tukio. Sipendi kuvuja sana jasho na huwa inanitokea kwenye tukio hata niweke 18°C hivo nalazimika kupumzika kujimwagia maji nakuendelea. Akitaka mashindano atembee

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Vumbi ya Mkongo nzur,.sema watu huwa wanapapuka sana kuitumia,
Kwanza, Unatakiwa uwe na Nguvu na hisia,
Pili, unapaka kidogo tu, pengne upande mmoja wa kichwa cha Uume (nusu ya upande wa kichwa), ila sasa utakuta mtu anapaka Uume mzima au kichwa cha uume chooooote na anaacha Zaid ya nusu saa,Hii huwez enjoy kabisaa..
Ukipaka Nusu Tu, Hata Manzi wako akila Koni unaisikia kabisa na ww ukiingiza kwake unakaa Lisaa limoja la wastan, na unafanya Goli 2 au 3 .. Furesh Kabisa
Nakuja PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla sijaendelea, una uhakika siijui Puturu vizuri na ufanyaji kazi wake?

Unajua ganzi ni nini hasa?

Jinsi gani Vumbi la kongo inafanya kazi?

Vumbi la Kongo maarufu Puturu inapakwa au kutiwa katika kichwa cha uume muda mfupi kabla ya kusex. Puturu inachofanya ni kuzuia KABISA bloodflow au mzunguko wa damu kufika katika mishipa ya kichwa cha uume.

Imagine uzuie tu damu kufika katika kidole completely hata kwa nusu saa...sembuse katika uume kwa masaa manne??? Kumbuka uume ni kiungo chenye asili ya kuwa na damu nyingi haswa inaposimama.

Wewe subiri tu miaka michache tu ijayo utasikia madhara yake.
Hivi ukipigwa sindano ya ganzi damu husimama??..

Ingekuwa ni hivyo mashine isinge simama sababu kusimama kwake kunahitaji ujaaji wa damu kwa wingi..
Kwenye mwili kuna milango mingapi ya fahamu?

Je mtu ukiguswa ni damu uhisi kama umeguswa au ngozi?... Nadhani nimeeleweka [emoji23][emoji23][emoji23]

#Ila vumbi la Kongo hushauriwi kutumia kama unatatizo la moyo au sio mtu wa mazoezi.. Utakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hujamuelewa mleta Mada.. Cha kwanza huyo Dada hamkupenda mpaka alivyoona jamaa ametoboa kimaisha pili jamaa alikamia show amkomoe..

Ila still at the end.. Mdada alifurahia show jamaa akaishia kupata kimoja tu kwa 20k..

So wewe unatushauri tukitaka kukomoa tuwe tunafanya nini tofauti na kutumia mundende.. Au dawa ya Paulina?
Mimi kama mwanamke,siku nitakayomwona wa ubani anajiboost kwa haya madude badala ya kupambana na lishe na zoezi nitamshusha nyota zote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kansa za vizazi zitaendelea kuenea kwa kasi kwa wanawake sababu ya machemical wanayosuguliwa nayo ukeni
 
Machifu gani hao tofautisha misosi ya zamani na ulaji wa sasa hivi. Humu mjini Hilo ni janga tuulize sisi wanawake ndo tuwaambje
Tuambie.. Ni janga kivipi hampendi?.. Au kwa kawaida unapenda mwanaume atumia muda gani akiwa kwenye game.. Embu funguka wewe kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
Yaani kwa uchovu wote huo wa wa saa kumi na mbili jioni hadi saa tano usiku umempa elf 20 tuu!!!!!!

Money is not everything but that's not fair.... Japo pia hakuwa anauza.

Anyways am not concerned.
Kamfuja Dada wa watu na yeye hata hakufaidi pia. Hawa wanaume wanatakiwa wale matobolwa basi yanatosha. Kazi kama kazi. Au unasemsje Mwana mayu?
 
K

Kamfuja Dada wa watu na yeye hata hakufaidi pia. Hawa wanaume wanatakiwa wale matobolwa basi yanatosha. Kazi kama kazi. Au unasemsje Mwana mayu?

Haswaaa, matobolwa yaliyochemshwa unashushia na maziwa fresh ya ng'ombe.

Kila siku kwenye milo ya mwanaume asikose karanga mbichi na asali.

Mboga za majani zinaungwa na karanga, ugali kiasi nyama nyingi.

Push ups kiasi ili atoe sumu mwilini, kisha mke/mpenz anamkaribisha kuoga tayari kwa kazi kama kazi....

Nimekumisii bhebhee....

Ulii mholaa!!???
 
Mzee umepiga mashine muda wote huo halafu unalipa elfu 20 tu? Anyway kama umebakisha vumbi kidogo naomba uniuzie nusu hasara hata kwa buku 5 nije kulipitia hapo ofisini kwako Manzese nina gemu jumamosi
 
M
Haswaaa, matobolwa yaliyochemshwa unashushia na maziwa fresh ya ng'ombe.

Kila siku kwenye milo ya mwanaume asikose karanga mbichi na asali.

Mboga za majani zinaungwa na karanga, ugali kiasi nyama nyingi.

Push ups kiasi ili atoe sumu mwilini, kisha mke/mpenz anamkaribisha kuoga tayari kwa kazi kama kazi....

Nimekumisii bhebhee....

Ulii mholaa!!???
Mholaa sana.
Miss you more
 
Back
Top Bottom