Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Kichwa cha habari chahusika.

Ni msichana niliyekua namzimia sana sana tangu tupo chuo nampiga verse anakataa katu katu ila kidume sikukata tamaa. Msichana huyu alikua mkali sana yani hadi nilipowaambia watu namtongoza, wakawa wakinikejeli kuwa siyo hadhi yangu.

Tulipomaliza chuo, kila mtu kaenda na mishe zake tukawa tukiwasiliana kidogo kidogo huku niki mu insist bado nampenda sana ila akawa ananitolea nje.

Bahati nzuri mambo yakaniendea vizuri, biashara zikawa hoya hoya nikaanza kumsahau sahau.

Mwezi huu wa 10 mwanzoni, nikawa nimefunga business zangu manzese mapema sana saa tisa, nikaenda ku withdraw pesa benk kwa ajili ya kuituma kwa Western Union ili iende china kwa ajili ya kuleta mzigo. Nilikwenda bank ya CRDB kufanya muamala huo. Kutokana na kiasi cha pesa ni kikubwa kiasi, Nilikwenda ku withdraw ndani na nikaangukia kwa yule mrembo niliyekua nikimpenda. Alikua ndo teller wa kunipa huduma.

Mwanzo aliponiona, alinipokea kawaida tu kwa majibu ya short as usual nikasema isiwe kesi, anihudumie nisepe. Baada ya sijui kusoma balance yangu na kuona kiwango nachotaka ku withdraw, akaanza kunipa tabasamu huku akiniambia, 'Mjina umenisusa siku hizi'. Sikumpa attention sana akanipa changu nikasepa.

Baada siku mbili hivi, akaanza nitext... Kwakua Mjina haringi, basi nilimjibu vizur tu na baadae km siku mbili hivi nilipoona kaniganda sana kwa chatting, ikabidi nirudishe mistari mtoto kajaa nyavuni. Show ikapangwa iwe Jumamosi ya Tarehe****. Kwakua alikua kanitesa sana, nilidhamiria nimpige show ambayo hakuwahi kuipata.

Nilinunua dust of congo kile kichupa cha 40,000/-. Kisha nikawahi Lodge 3 hours before nikapaka dust of congo ya kutosha kisha nikamwagiza jamaa wa uber niliyemkuta pale maeneo akamchukue pale sinza kwa remi amlete Mbezi Beach nilipo kisha nikalala dawa ipenje.

Mtoto alipofika alinipigia simu kisha nikamtuma mhudumu amwelekeze. Akaja tukaoga tukala. Show ilianzwa 1800hrs. Nilipomvua nguo yule mrembo, mwili unanisisimuka kwa urembo wake. Ni mweupe kiasi, ngozi laini, chuchu saa sita yani umbo zuri kama lote. Hiyo sura sauti na nywele ndo usiseme. Nimepiga show, show, show, show bila wazungu kutoka. Ikumbukwe, vumbi la congo linaipa ganzi mashine hivyo ni ngumu kukojoa.

Nimepiga show hadi saa mbili ndipo napata goli la kwanza wakat mtoto kashayapiga ya kutosha. Nimempiga show kutafuta goal number 2 bila mafanikio. Yule mtoto alikua akipata utamu wote hadi akawa akilia 'Mjina kwani ulikua wapi muda wote, kwanini sikujua mapema nikakukubalia'

Kwa hakika hadi tunamaliza show majira ya saa tano, nilikua nimepiga goli moja tu. La pili lilikataa kabisa japo bado nilikua natamani kuendelea. Ilibidi tufunge show maana mtoto alikojoa hadi papuch ikawa imeanza kukauka nikaona namchubua tu bure.

Nili mind sana maana sikumfaidi coz utamu sikupata sababu ya ganzi ya vumbi la kongo. Nilimpa 20,000 yule mrembo na kumpeleka hadi Sinza kisha nikarudi zangu home Mbezi. Vumbi la kongo ni la kijinga na halikupi ladha ya penzi bali mwanamke ndo ana enjoy. Nimelitumia mara moja, na sitokaa nilitumie tena.

Mjina Mrefu...
Watu wengi wa mazoezi ndo wanatumia vumbi la Congo, anapiga goal lake moja inatosha especially footballers wa kibongo nna ushahidi

sasa wewe hata push up tano huwezi kupiga unatumia vumbi litakuumiza
 
"Ni pale mchezaji anapo mtegemea sub ili aoneshe kiwango chake, ili hali mpinzani anajua wazi kiwango halisi ni 0" alisikika mdada m1. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ile dawa INA madhara sana Mkuu

Mtafute yeyote aliyetumia kwa miaka miwili tu au hata mmoja na nusu

Mimi nimeifahamu Puturu mwaka 2008, na kuna ndugu yangu anaendaga Kongo alikuwa anakuja nayo anawapa Bure baadhi ya washkaji chuoni na home ilikuwepo ya kutisha tu.

Yeye alikuwa anapaka kwny uume akiwa amemix na mafuta ya vaseline

Wenzake wengi Leo hii hawasimamishi at all na wanahudhuria mahospitalini

KWA KUKUSAIDIA :

Kama unataka dawa nenda Ngaramtoni au simanjiro umasaini siku ya mnada wamasai wakupe yakwao isiyo na madhara kabisa inaitwa MORAN ila wanauza mpaka elfu 40, achana na hizi wanazotembeza

Watakuambia tu ule chakula vizuri ushibe halafu watakupa kidogo tu ya kumix kwenye Supu au chai ya rangi.

Hii Nina hakika haina madhara ila uume utasimama muda mrefu hadi utamwonea huruma mwanamke, labda kama unao zaidi ya mmoja.

Unakuta mmasai anapotea nyumbani hata miaezi 6 ila akija kumlala mke wake yaani kesho asubuhi wanakuja wamama kumkanda Huyo mwanamke na mafuta kwasababu unakuta usiku mzima alishughulikiwa. Siku Mume akija yaani anaumwa kabisa na asipokuja ndio furaha yake.
Uko Arusha bro..
 
Siku ukimla bila vumbi eti unataka ufaidi hata kukubipu hatojaribu
 
Azarel ukizuia damu kweny organ Ina undergo cell death then anapata gangrene
Ganzi kwa kiingereza ni #Acupuncture

Moja kati ya side effect ya Acupuncture ambayo haijatokana na needle injection yaani kama hiyo ya kupaka Viagra ni #Nerve Damage (kufa kwa neva) na hii ina connection na uti wa mgongo pamoja na Ubongo.

Jaribu kugoogle side effects za Acupuncture
 
Vumbi ya Mkongo nzur,.sema watu huwa wanapapuka sana kuitumia,
Kwanza, Unatakiwa uwe na Nguvu na hisia,
Pili, unapaka kidogo tu, pengne upande mmoja wa kichwa cha Uume (nusu ya upande wa kichwa), ila sasa utakuta mtu anapaka Uume mzima au kichwa cha uume chooooote na anaacha Zaid ya nusu saa,Hii huwez enjoy kabisaa..
Ukipaka Nusu Tu, Hata Manzi wako akila Koni unaisikia kabisa na ww ukiingiza kwake unakaa Lisaa limoja la wastan, na unafanya Goli 2 au 3 .. Furesh Kabisa
Hii ya kuacha zaidi ya nusu SAA ikoje mkuu embu nielezee ?

Ukipaka unakaa Massa mangap ndo unyandue ?
 
Hii ya kuacha zaidi ya nusu SAA ikoje mkuu embu nielezee ?

Ukipaka unakaa Massa mangap ndo unyandue ?

Kazi ya Vumbi la mkongo ni kuua Ganzi.
So ikipakwa kwenye Uume , basi uume unakufa ganzi, na unakuwa hauhisi chochote.

So kama ukipakwa kwenye kichwa cha uume (ambacho kinaleta msisimko) basi ule msisimko hauhusikii,
So kama ni kufika mshindo basi unatumia hisia zako na sio ile raha ya kuhis joto/utamu wa ukeni.

Ila Sasa ukipaka kwa wingi basi hata ule Uume wenyewe hauwez kuusikia kama upo pale.
Na shida inaanzia hapo. Utadindisha na utashoka na hutafika.

Ila ukipaka kidogo tu, bas utasikia msisimko kwa mbali.

Wazungu wanazo dawa zinafanya kazi ya delay ejaculation na ni legal kabisa kuuzwa pharmacy.
 
Kwa kuongezea.

Hizi Dawa za Kuongeza nguvu,
morani, alkasusi, vumbi ya mkongo zoote utatakiwa wewe kama mwanaume ule ushibe , uwe na uwe na Hisia.

Na ndio maana zinasema kuongeza nguvu , maana inakuongezea zaid ya nguvu zako.

So kama una matatizo ya kutosimamisha, kusinyaa uume,
Hanithi hizi dawa hazisaidii.
 
Back
Top Bottom