Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Kwamba umesahau mara ya mwisho kupigwa goli 5Tangu lini umeiona Simba imefungwa goli 5?
Usiifananishe Simba hii na Simba Ile ya hamsa mjomba. Hii Simba niya 4 kwa ukubwa jombaa.
Sasa msimu huu simba imefungwa goli tano na nani au ndio umekurupuka bila kuelewa, ndio maana akasema simba hii siyo ile ya msimu uliopita, simba msimu huu haijaruhusu magoli zaidi ya mawili kwenye michuano yoyote iliyoshirikiKwamba umesahau mara ya mwisho kupigwa goli 5
Leo anza kuhesabu sasaSasa msimu huu simba imefungwa goli tano na nani au ndio umekurupuka bila kuelewa, ndio maana akasema simba hii siyo ile ya msimu uliopita, simba msimu huu haijaruhusu magoli zaidi ya mawili kwenye michuano yoyote iliyoshiriki
Sasa kutofungwa goli 5 kuna umaalumu gani. Mbona timu nyingi tu mzimu huu hazijafungwa goli hizo.Sasa msimu huu simba imefungwa goli tano na nani au ndio umekurupuka bila kuelewa, ndio maana akasema simba hii siyo ile ya msimu uliopita, simba msimu huu haijaruhusu magoli zaidi ya mawili kwenye michuano yoyote iliyoshiriki
ππππLeo anza kuhesabu sasa
Ndio maana nikakuambia acha kukurupuka soma tena comment yake uielewe, mbele ameendelea kwamba simba hii siyo ile ya hamsa sasa wewe kwa kauli hiyo umeshindwa kuelewa kwamba anaongelea msimu huu, hiyo sentensi mbona hata mtoto mdogo tu anaelewa au unadhani yeye muandishi hajui kuwa simba msimu uliopita ilifungwa tanoSasa kutofungwa goli 5 kuna umaalumu gani. Mbona timu nyingi tu mzimu huu hazijafungwa goli hizo.
Huyo simba mwenzako kwenye comment yake mstari wa kwanza kauliza toka lini simba imefungwa goli 5, hajataja kipindi cha mwaka/miaka ndio nikampa assignment avute kumbukumbu lini mara ya mwisho kuchezea hamsa
Cool down, ni ushabiki tu. Vipi unaangalia mechi? Game ipo half timeNdio maana nikakuambia acha kukurupuka soma tena comment yake uielewe, mbele ameendelea kwamba simba hii siyo ile ya hamsa sasa wewe kwa kauli hiyo umeshindwa kuelewa kwamba anaongelea msimu huu, hiyo sentensi mbona hata mtoto mdogo tu anaelewa au unadhani yeye muandishi hajui kuwa simba msimu uliopita ilifungwa tano