Hii ndiyo mechi mbovu kabisa kwa Yanga msimu huu

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Nazani Cedric Kaze si kocha wa kiwango hiiiicho kama ambavyo inadaiwa. Upangaji wa timu na "Substitution"unamsumbua sana. Leo Yanga wamecheza mpira uliofanya akafukuzwa mara ya kwanza alipokuwa kocha mkuu. Kwenye mapinduzi Cup aliachiwa timu hivi hivi akavurunda kwa timu kucheza ovyo.

Baada ya kocha mkuu kufungiwa mechi hizi 3 alizoachiwa , unaona Yanga ikicheza na makosa mengi ya kiufundi. Km si makosa ya Assistant Referee leo Yanga ingetobolewa bila ubishi.

Timu ilicheza bila mipango hasa kipindi cha pili.All I can say,this is the worst game of the season for Yanga. Very very worst[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
 
Kwasasa Lake Tanganyika ni uwanja mgumu kupata matokeo Kwa Yanga. Mechi za Kigoma inatakiwa wenyeji wa Kigoma wapewe nafasi ya kuiandaa mechi, watu wa DAR wakubali Kigoma ni ngumu kwao.

Kwa Hali iliyokuwepo hata tungecheza mbaka kesho tusingeshinda.
 
Dunian ni yanga tu ndo hawajapoteza vipi kuhusu hilo unafahamu?
 
Yaani Kaze Ni Woovyooo na buree kabisa. Nashauri watafute kocha Msaidizi wa ndani Kama Mecky Mexime. Huyu Kaze kwangu Ni big noo
 
Nasubiri CAF CL kuona utopolo akichangwa kwenye preliminary stage. Eneo la kiungo lilitawaliwa na dogo Abduliswamad akina aucho, sureboy, feisal, wakamezwa. Yanga inabaka ubingwa na haitaweza kushindana kimataifa. But hongera watani kwa kuwa mabingwa wa NBC 2021/2022.
 
Kwenye ligi yenye ushindani kuna mechi kama hizi hutokea.....It's just a normal thing
 
Kwenye Kiungo Yanga..kusema Ukweli mchezaji ni Feisal tu... !

Haya Magarasa mengine Mazee Sijui Wameyaokota Wapi Sijui Aucho Sijui Bangala Yalisha jiishia Zamani ila Yamekuja Bongo Kuchukua Pensheni tu.....!
Mwingine Wa Pensheni ni Yule Mzee Wanayedai wa Mipira iliyokufa Wakati toka aje Kashapiga mipira 299 Kapata 1 tu...Ntibazonkiza.

Next CAF Competition inabidi wafanye Usajili Wa Maana hawa Wazee wataambulia Kipigo cha nje ndani tena.
 
Kisichokuhusu kisikupe shida, hao yanga wamelizika na Bangala na Aucho wao wewe ngebe za nini?
IMG_20220504_214539.jpg
 
Kwenye Kiungo Yanga..kusema Ukweli mchezaji ni Feisal tu... !

Haya Magarasa mengine Mazee Sijui Wameyaokota Wapi Sijui Aucho Sijui Bangala Yalisha jiishia Zamani ila Yamekuja Bongo Kuchukua Pensheni tu.....!
Mwingine Wa Pensheni ni Yule Mzee Wanayedai wa Mipira iliyokufa Wakati toka aje Kashapiga mipira 299 Kapata 1 tu...Ntibazonkiza.

Next CAF Competition inabidi wafanye Usajili Wa Maana hawa Wazee wataambulia Kipigo cha nje ndani tena.
Pimbi sana wewe
 
Mwenye ratiba ya NBC premier league aweke hapa tafadhati
 
Nazani Cedric Kaze si kocha wa kiwango hiiiicho kama ambavyo inadaiwa. Upangaji wa timu na "Substitution"unamsumbua sana. Leo Yanga wamecheza mpira uliofanya akafukuzwa mara ya kwanza alipokuwa kocha mkuu. Kwenye mapinduzi Cup aliachiwa timu hivi hivi akavurunda kwa timu kucheza ovyo.

Baada ya kocha mkuu kufungiwa mechi hizi 3 alizoachiwa , unaona Yanga ikicheza na makosa mengi ya kiufundi. Km si makosa ya Assistant Referee leo Yanga ingetobolewa bila ubishi.

Timu ilicheza bila mipango hasa kipindi cha pili.All I can say,this is the worst game of season for Yanga. Very very worst[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Nafikiri watu wanaibeba hii timu ili isifungwe msimu huu. Si mechi ya leo tu bali kuna mechi nyingi tu huko nyuma timu inacheza huku ikibebwa na marefa. Hii ni mbaya sana kwa nchi yetu kwani Yanga ikituwakilisha kwenye mashindano ya kimataifa hawatafika mbali kwa sababu hawawezi mashindano ya kimataifa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom