Hii ndiyo njia sahihi (ya kisayansi) ya kuwaumiza 'haters' wako

Diva Malinzi anaishi Masaki, na post zake lazima location ioneshe yupo Masaki.

Kuna watu wanaishi maisha magumu sana, imagine mwanamke analala na wigi pamoja na make-up.
 
Sio kwa bongo hii kaka.
 
Check mfano Bongo zozo yuko very happy kila siku ababili viwanja tu na ana share na sisi experience.

Nulifurahi experience niliyoipata kutoka kwa Bongo zozo kuhusu nchi ya Monaco na Ufaransa, mpaka wao ni barabara tu kama kuvuka shekilango kutoka Sinza kuingia Mwenge, very interesting......
 

Bongo zozo ni mzungu kaka. Hujui saikolojia ya hater. Hater huwa hawamchukii mwenye mafanikio wasie mjua. Wanamchukia mwenye mafanikio wanae mjua.
 
Bongo zozo ni mzungu kaka. Hujui saikolojia ya hater. Hater huwa hawamchukii mwenye mafanikio wasie mjua. Wanamchukia mwenye mafanikio wanae mjua.
 

Attachments

  • 507474e0b3984f478df96df2d837c0aa_10000000_557797769544713_8101440113322327863_n.mp4
    26.9 MB
  • 1673397857907.mp4
    931 KB

Ile ndio kuishi utakavyo
 
Ndo ttzo la mswahili akipata haachi uswahili na anahisi kla mtu atamfundisha uswahilj wake

Ishi maisha hater ndo watu gan hater ndo kitu gan watu mlozaliwa na kukulia uswahilin mkizipataga huwa mnapagawa sana
 
Hawa haters wapo na watakuwepo mpaka mwisho wa dunia, njia sahihi ni kutojihusisha nao. Tuna majukumu mengi yakufanya
 
Sijui ni kwanini lakini hii Roho nilipambana nayo sana mwaka 2005 nikiwa kidato cha pili.Nilikua nikisikia mtu kafaulu kunizidi Naumiaaa!!!!! Nikiskia washkaji wamepata vi scholarship mtaani Naumiaaa!!!..

Na unfortunatelly i was not aiming at these habits nilijikuta niko hivyo sasa nikawa naona hii tabia mbona inanitesa sanaa??? Nimeitoa wapi mimi hii kitu!??

Nikadhamiria kwa dhati kabisa kuiacha na kuanza kujifunza kufurahia achievements za watu wengine kwa nguvu na kwa kuilazimisha Nafsi.

Natafuta habar njema za watu and learn to be at peace n joy with them mpaka nika manage... since then nikiwa kabwana mdogo kabisa niliishinda hii roho mbaya ya kuwa hater mpaka sasa n i became Free.

Kuwa hater ni kazi nzito sana sijui wengine wanaiwezaje.

I dont blame haters, hii kitu weng wao hujikuta tuuu wako hivyo n they dnt know how to get rid of it.Ni kama wengi huwa tunazliwa nayo especially sie tunaotokea kwenye family za kimasikin.

I dnt blame them..they need help..cant controll themselves
 
What a comment .
May God bless you

I wanna like to remind you that your real haters are your brethrens

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
LIKUD upo sahihi bro ila kwa nilichojifunza mimi ni kuwa msiri kwenye mipango nasio kwenye matumizi yaani ile paap..! Wanastuka nimefanya hiki mara kile bila kujua harakati zangu.
Siwezi kujifichaficha kunywa bia, kuvaa vizuri, kujenga, kununua ndinga kisa haters hapana aisee.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Be blessed
 
Hawakwepeki kaka hata usipo jihusisha nao wao watajihusisha nawe
 
Ndo ttzo la mswahili akipata haachi uswahili na anahisi kla mtu atamfundisha uswahilj wake

Ishi maisha hater ndo watu gan hater ndo kitu gan watu mlozaliwa na kukulia uswahilin mkizipataga huwa mnapagawa sana
Hater ni kama wewe vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…