Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha sitosahau story ya mji wa Gamboshi katika kusikiliza msimuliaji akalitaja eneo moja linaitwa Bermuda triangle ambalo linasemekana ndio makau makuu ya Gamboshi hapa duniani na eneo linaloogopeka zaidi hapa duniani ila hakulielezea kiundani zaidi
Hivyo kwa wale wanaofahamu kuhusu Bermuda triangle hebu karibuni mtuelezee kiundani zaidi kuhusu hili eneo ambalo linasemekana ndio makao makuu ya Gamboshi hapa duniani
Hivyo kwa wale wanaofahamu kuhusu Bermuda triangle hebu karibuni mtuelezee kiundani zaidi kuhusu hili eneo ambalo linasemekana ndio makao makuu ya Gamboshi hapa duniani