Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,974
Hahahaa inawezekana sema mimi huwa nayaona yote mambo fulani ya kusadikika sadikika tu, ndio maana huwa nayafananisha.Alliens sio vibwengo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa inawezekana sema mimi huwa nayaona yote mambo fulani ya kusadikika sadikika tu, ndio maana huwa nayafananisha.Alliens sio vibwengo mkuu
Hahaha! Sehemu iliyonichekesha zaidi ni Hapo mwishoni ulipoingiza mambo ya Atlantis.
Hadithi za Atlantis ni mojawapo ya chai moja takatifu namshukuru Plato kwa kutuletea chai inayotuburudisha kama hii.
Mkondo wa maji hauwezi zuru ndege iliyo angani. Siamini kama kuna shetani pale ila pia siamini kama chanzo cha yote ni mkondo mkari wa maji. Labda kama huo mkondo utakuwa unatengenezwa na kimbungahakuna shetani pale kuna mkondo wa maji hatari ndio sababu kuu
Siyo " zuru" ni dhuruMkondo wa maji hauwezi zuru ndege iliyo angani. Siamini kama kuna shetani pale ila pia siamini kama chanzo cha yote ni mkondo mkari wa maji. Labda kama huo mkondo utakuwa unatengenezwa na kimbunga