Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

Wala wasiangalie hadithi na nasaba zisizo na ukomo, ziletazo maswali wala siyo madaraka ya MUNGU yaliyo katika imani.
 
Natamani nifike ilo eneo ina maana wameshindwa kutegesha mi camera tuone nini kinatokeaga uko
 
Hilo eneo linaaminika ni sehemu ambayo maji yanazunguka Kwa kasi sana Kwa huko chini kwahio ile nguvu ndo inaleta hayo madhara huko juu kwa meli na ndege
 
Back
Top Bottom