Gamboshi sasa inakuzwa mpaka kufananisha na Bermuda? Jamani tembelee hapo Congo ndani ndani huko unaweza sahau habari za Gamboshi.Nilikuwa nasikiliza kipindi cha sitosahau story ya mji wa Gamboshi katika kusikiliza msimuliaji akalitaja eneo moja linaitwa Bermuda triangle ambalo linasemekana ndio makau makuu ya Gamboshi hapa duniani na eneo linaloogopeka zaidi hapa duniani ila hakulielezea kiundani zaidi
Hivyo kwa wale wanaofahamu kuhusu Bermuda triangle hebu karibuni mtuelezee kiundani zaidi kuhusu hili eneo ambalo linasemekana ndio makao makuu ya Gamboshi hapa duniani
Ni eneo lenye chunusiBermunda triangle nie eneo la bahari ya Atlantic lililopo kusini Mashariki mwa Jimbo la frolida Marekani, inasemekana eneo Hilo limetawaliwa na nguvu za kishetani , taarifa zinasema mamia ya ndege pamoja na meli zimewahi kupotelea katika eneo Hilo katika mazingira ya kimiujiza na kutatanisha ....
Marubani na makapteni hushauriwa kulikwepa hlo eneo kadri iwezekanavyo...
Mi naona kama ni hoaxhilo eneo nasikia ni noma.ukipitisha chombo chako (ndege au meli) eneo hlo lazima upotee
Sure but hata hizi stories nazo zinatia shaka kwa namna fulani ni kama conspiracy theories tu kuhusu hilo eneo.Don't over trust these creatures
lemutuz pita huku Kuna kagitaa kazuri kanapigwa, naamini utayamwaga mauno kama yoteNi bermuda triangle, nasikia meli ikipita karibu na hapo inaloose control, inaweza kuzunguka hapo siku tatu ndio ipite. Ukitoka hapo hata akili zinakuwa hazipo sawa kama za kitoto hivi. Mtoto wa waziri mkuu mstaafu bonge bonge hivi amewahi kukatiza hapo.