Lyugi sana
Member
- Dec 11, 2020
- 31
- 19
Kwahiyo meli inaweza kupotelea hapo sio!Ni bermuda triangle, nasikia meli ikipita karibu na hapo inaloose control, inaweza kuzunguka hapo siku tatu ndio ipite. Ukitoka hapo hata akili zinakuwa hazipo sawa kama za kitoto hivi. Mtoto wa waziri mkuu mstaafu bonge bonge hivi amewahi kukatiza hapo.
Hapo ni hatari. Ukijichanganya hapo ama ufe ama utoke akili zimeruka [emoji16][emoji16][emoji16]Ni bermuda triangle, nasikia meli ikipita karibu na hapo inaloose control, inaweza kuzunguka hapo siku tatu ndio ipite. Ukitoka hapo hata akili zinakuwa hazipo sawa kama za kitoto hivi. Mtoto wa waziri mkuu mstaafu bonge bonge hivi amewahi kukatiza hapo.
Kwa Tanzania iko sehemu gani hyo?Hapo ni hatari. Ukijichanganya hapo ama ufe ama utoke akili zimeruka [emoji16][emoji16][emoji16]
Sio meli tu, hata ndege kadha wa kadha zimeshapotelea hapo na hazikuonekana hata mabaki yake.Kwahiyo meli inaweza kupotelea hapo sio!
Ukiona maji yanazunguka ujue kuna shimo!Wewe unayejua zaidi au kufahamu kuhusu eneo hili unijuze nami nifahamu, huwa nasikia kitaa lakini bado sijajua kiuhakika.
Karibuni.View attachment 1667088
ha ha le baharia alipatikana, nyie sio watu wazuriUkitoka hapo hata akili zinakuwa hazipo sawa kama za kitoto hivi. Mtoto wa waziri mkuu mstaafu bonge bonge hivi amewahi kukatiza hapo.
Hivi kwa umbo la Dunia lilivyo kuna katikati ya Dunia? mfano ukichukua Mpira huu unaotumiwa kwenye football unaweza kupaona katikati ya mpira? au sehemu yeyote tu inaweza kua katikati kwa kuzingatia umeanzia kuhesabia/Kupimia wapi?Huita bermuda triangle au ni katkat ya Dunia yetu ambapo hapo kuna high force of gravitation
ambapo iwe juu au chini au ndani ya maji chochot kukipita lazima kivutwe na hiyo force ni kama sumaku yenye Nguvu kubwa
Hiyo ni ishara kuwa hapo kuna tundu ardhini (tunnel) ambalo linameza maji na kuyapeleka sehemu nyingine underground. Ni eneo hatari sababu maji yote ya karibu na hapo huvutwa kuja kuingia katika tundu hilo na hivi ukijikuta katika eneo hilo ambalo maji yake tayari yanavutwa, utavutwa pia na chombo chako na utaishia kuingizwa kwenye tundu hilo linaloishia kusikojulikana!?Nadhani hapo lazima maji hayo yawe yanatembea ndio kinaweza kutokea kitu kama hcho
Kwa kuwa tunaambiwa dunia sio duara kamili (perfect sphere) bali duara bapa (oval shape) katikati panaweza kupatikana lakini hapawezi kuwa hapo Bermuda. Ni ama kasklkazini au kusini mwa dunia.Hivi kwa umbo la Dunia lilivyo kuna katikati ya Dunia? mfano ukichukua Mpira huu unaotumiwa kwenye football unaweza kupaona katikati ya mpira? au sehemu yeyote tu inaweza kua katikati kwa kuzingatia umeanzia kuhesabia/Kupimia wapi?
nikuwek wazi jua kwamba dunia sio duara kama unavyozaniHivi kwa umbo la Dunia lilivyo kuna katikati ya Dunia? mfano ukichukua Mpira huu unaotumiwa kwenye football unaweza kupaona katikati ya mpira? au sehemu yeyote tu inaweza kua katikati kwa kuzingatia umeanzia kuhesabia/Kupimia wapi?
kwa kutumia dila (campus) directionKwa kuwa tunaambiwa dunia sio duara kamili (perfect sphere) bali duara bapa (oval shape) katikati panaweza kupatikana lakini hapawezi kuwa hapo Bermuda. Ni ama kasklkazini au kusini mwa dunia.
Bila shaka unamsemea, le mbululaziNi bermuda triangle, nasikia meli ikipita karibu na hapo inaloose control, inaweza kuzunguka hapo siku tatu ndio ipite. Ukitoka hapo hata akili zinakuwa hazipo sawa kama za kitoto hivi. Mtoto wa waziri mkuu mstaafu bonge bonge hivi amewahi kukatiza hapo.
Yaani wabongo ni shida. Unaweza kuwa na kazi ya kuwakosoa hadi watakuita mjuaji. Vitu vingi basic ni shida kwao.wabongo bana..Kuangalia simulizi ya wasafi ya bermuda triangle basi kila ukiona Bahari maji yanazunguka imekuwa bermuda....Manze hiyo ni phenomenon ya kawaida kwenye moving waters...maji yanaweza kujitwist(whirl) ikawa kama tornado ndani ya maji..mHii inaweza kutokea popote kwenye maji ya Kasi sio lazima huko Bermuda(Although na kwenyewe huwa hivi)