Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

Nadhani hapo lazima maji hayo yawe yanatembea ndio kinaweza kutokea kitu kama hcho
 
Ni bermuda triangle, nasikia meli ikipita karibu na hapo inaloose control, inaweza kuzunguka hapo siku tatu ndio ipite. Ukitoka hapo hata akili zinakuwa hazipo sawa kama za kitoto hivi. Mtoto wa waziri mkuu mstaafu bonge bonge hivi amewahi kukatiza hapo.
Kwahiyo meli inaweza kupotelea hapo sio!
 
Hapo ni hatari. Ukijichanganya hapo ama ufe ama utoke akili zimeruka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwahiyo meli inaweza kupotelea hapo sio!
Sio meli tu, hata ndege kadha wa kadha zimeshapotelea hapo na hazikuonekana hata mabaki yake.
Ingawa wakati fulani watu wamepinga kwamba kupotea kwa ndege maeneo hayo sio ajabu kwa sababu hata maeneo mengine zimewahi kupotea tu. Jaribu ku-google uongeze ufahamu kidogo.
 
Huita bermuda triangle au ni katkat ya Dunia yetu ambapo hapo kuna high force of gravitation
ambapo iwe juu au chini au ndani ya maji chochot kukipita lazima kivutwe na hiyo force ni kama sumaku yenye Nguvu kubwa
 
Hivi kwa umbo la Dunia lilivyo kuna katikati ya Dunia? mfano ukichukua Mpira huu unaotumiwa kwenye football unaweza kupaona katikati ya mpira? au sehemu yeyote tu inaweza kua katikati kwa kuzingatia umeanzia kuhesabia/Kupimia wapi?
 
Nadhani hapo lazima maji hayo yawe yanatembea ndio kinaweza kutokea kitu kama hcho
Hiyo ni ishara kuwa hapo kuna tundu ardhini (tunnel) ambalo linameza maji na kuyapeleka sehemu nyingine underground. Ni eneo hatari sababu maji yote ya karibu na hapo huvutwa kuja kuingia katika tundu hilo na hivi ukijikuta katika eneo hilo ambalo maji yake tayari yanavutwa, utavutwa pia na chombo chako na utaishia kuingizwa kwenye tundu hilo linaloishia kusikojulikana!?
 
Hivi kwa umbo la Dunia lilivyo kuna katikati ya Dunia? mfano ukichukua Mpira huu unaotumiwa kwenye football unaweza kupaona katikati ya mpira? au sehemu yeyote tu inaweza kua katikati kwa kuzingatia umeanzia kuhesabia/Kupimia wapi?
Kwa kuwa tunaambiwa dunia sio duara kamili (perfect sphere) bali duara bapa (oval shape) katikati panaweza kupatikana lakini hapawezi kuwa hapo Bermuda. Ni ama kasklkazini au kusini mwa dunia.
 
wabongo bana..Kuangalia simulizi ya wasafi ya bermuda triangle basi kila ukiona Bahari maji yanazunguka imekuwa bermuda....Manze hiyo ni phenomenon ya kawaida kwenye moving waters...maji yanaweza kujitwist(whirl) ikawa kama tornado ndani ya maji..mHii inaweza kutokea popote kwenye maji ya Kasi sio lazima huko Bermuda(Although na kwenyewe huwa hivi)
 
Siyo bermuda hapo. Hizo hali hutokea baharini nimeaahau ni nini ila siyo Bermuda.
 
Hivi kwa umbo la Dunia lilivyo kuna katikati ya Dunia? mfano ukichukua Mpira huu unaotumiwa kwenye football unaweza kupaona katikati ya mpira? au sehemu yeyote tu inaweza kua katikati kwa kuzingatia umeanzia kuhesabia/Kupimia wapi?
nikuwek wazi jua kwamba dunia sio duara kama unavyozani
dunia inaumbo kama yai la kuku,
alfu nikuulize unazani ni kwa nini ukiwa above level object yoyote huende juu lakini ikiwa below level object hurudi chini hiyo force inatokea wapi think deeply
 
Kwa kuwa tunaambiwa dunia sio duara kamili (perfect sphere) bali duara bapa (oval shape) katikati panaweza kupatikana lakini hapawezi kuwa hapo Bermuda. Ni ama kasklkazini au kusini mwa dunia.
kwa kutumia dila (campus) direction
mshale ukidirect north ndipo hiyo force inapatikania hapo na ndo middlr of the earth
 
Ni bermuda triangle, nasikia meli ikipita karibu na hapo inaloose control, inaweza kuzunguka hapo siku tatu ndio ipite. Ukitoka hapo hata akili zinakuwa hazipo sawa kama za kitoto hivi. Mtoto wa waziri mkuu mstaafu bonge bonge hivi amewahi kukatiza hapo.
Bila shaka unamsemea, le mbululazi
 
wabongo bana..Kuangalia simulizi ya wasafi ya bermuda triangle basi kila ukiona Bahari maji yanazunguka imekuwa bermuda....Manze hiyo ni phenomenon ya kawaida kwenye moving waters...maji yanaweza kujitwist(whirl) ikawa kama tornado ndani ya maji..mHii inaweza kutokea popote kwenye maji ya Kasi sio lazima huko Bermuda(Although na kwenyewe huwa hivi)
Yaani wabongo ni shida. Unaweza kuwa na kazi ya kuwakosoa hadi watakuita mjuaji. Vitu vingi basic ni shida kwao.
 
Back
Top Bottom