Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

nikuwek wazi jua kwamba dunia sio duara kama unavyozani
dunia inaumbo kama yai la kuku,
alfu nikuulize unazani ni kwa nini ukiwa above level object yoyote huende juu lakini ikiwa below level object hurudi chini hiyo force inatokea wapi think deeply
Hivi umesoma comment yangu nakuielewa au umejikoki tu kubishana? Comment yangu imekuja kwa mfumo wa swali,kama ulikua huna majibu ya nilichouliza ungepita kimya tu.
 
Hivi umesoma comment yangu nakuielewa au umejikoki tu kubishana? Comment yangu imekuja kwa mfumo wa swali,kama ulikua huna majibu ya nilichouliza ungepita kimya tu.
wewe pia hujanielew
nimekujibu kwa swali,na fikilia zaidi
na sio kubishana broh!
 
Aseeeeeh hapo ni mwendo wa kua chizi tyuuuh.
 
Katikati ya mpira si ni pale pa kujazia upepo
Duh!
Hili suala halijaanza kubishaniwa leo tena dunia nzima. Je, nao waliangalia wasafi?
 
Bermuda triangle tumejifunza na kuisikia kabla hata Diamond hajazaliwa sio tu Wasafi Radio
 
Hakuna hiyo sehemu popote pale duniani
A whirlpool is a body of rotating water produced by opposing currents or a current running into an obstacle. Small whirlpools form when a bath or a sink is draining. More powerful ones in seas or oceans may be termed maelstroms

Whirlpools can be dangerous for swimmers and small boats, although larger ships aren't at any real risk of being sucked into a whirlpool, even a particularly large and powerful one
 
nakubaliana na wewe
 
Hv hayo maji yanavoingia chini huko mbona cjawah kusikia labda maji ya bahari yamepungua kutokana na jinsi yanavoingia chini huko.?
 
Huita bermuda triangle au ni katkat ya Dunia yetu ambapo hapo kuna high force of gravitation
ambapo iwe juu au chini au ndani ya maji chochot kukipita lazima kivutwe na hiyo force ni kama sumaku yenye Nguvu kubwa
Dunia tufe inakuwaje Bermuda hapo pawe kati kati?
 
Mkuu unafananisha aliens na vibwengo!dah
 
Hii sehemu sito isahau mwaka jana mwezi wa saba natokea marekani Florida narudi UK haaahaaa ndege ilipo fika hiyo sehemu Acha kabisa ndege ilikua inayumba kama umepanda gari bovu kwenye barabara isiyokua na rami mpaka mizigo inaangukia watu ikafika hatua taa zikazimwa zote ndege nzima giza tupu hamuonani hiyo hali iliendelea kama dk 45 za moto sito sahau kiukweli nilikua na sali kimoyomoyo kwa sababu ilionekana Hali ya lolote kutokea nashukuru Muumba alituvusha salaama eleo hilo sio la kitoto na tulipita hapo usiku kama saa saba hivi kuelekea saa nane ukiangalia vile viscreen kwenye ndege location Bermuda sio poa hapo pasikieni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…