Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi umesoma comment yangu nakuielewa au umejikoki tu kubishana? Comment yangu imekuja kwa mfumo wa swali,kama ulikua huna majibu ya nilichouliza ungepita kimya tu.nikuwek wazi jua kwamba dunia sio duara kama unavyozani
dunia inaumbo kama yai la kuku,
alfu nikuulize unazani ni kwa nini ukiwa above level object yoyote huende juu lakini ikiwa below level object hurudi chini hiyo force inatokea wapi think deeply
NungwiKwa Tanzania iko sehemu gani hyo?
Nungwi
wewe pia hujanielewHivi umesoma comment yangu nakuielewa au umejikoki tu kubishana? Comment yangu imekuja kwa mfumo wa swali,kama ulikua huna majibu ya nilichouliza ungepita kimya tu.
Katikati ya mpira si ni pale pa kujazia upepoHivi kwa umbo la Dunia lilivyo kuna katikati ya Dunia? mfano ukichukua Mpira huu unaotumiwa kwenye football unaweza kupaona katikati ya mpira? au sehemu yeyote tu inaweza kua katikati kwa kuzingatia umeanzia kuhesabia/Kupimia wapi?
Duh!Katikati ya mpira si ni pale pa kujazia upepo
Hili suala halijaanza kubishaniwa leo tena dunia nzima. Je, nao waliangalia wasafi?wabongo bana..Kuangalia simulizi ya wasafi ya bermuda triangle basi kila ukiona Bahari maji yanazunguka imekuwa bermuda....Manze hiyo ni phenomenon ya kawaida kwenye moving waters...maji yanaweza kujitwist(whirl) ikawa kama tornado ndani ya maji..mHii inaweza kutokea popote kwenye maji ya Kasi sio lazima huko Bermuda(Although na kwenyewe huwa hivi)
Bermuda triangle tumejifunza na kuisikia kabla hata Diamond hajazaliwa sio tu Wasafi Radiowabongo bana..Kuangalia simulizi ya wasafi ya bermuda triangle basi kila ukiona Bahari maji yanazunguka imekuwa bermuda....Manze hiyo ni phenomenon ya kawaida kwenye moving waters...maji yanaweza kujitwist(whirl) ikawa kama tornado ndani ya maji..mHii inaweza kutokea popote kwenye maji ya Kasi sio lazima huko Bermuda(Although na kwenyewe huwa hivi)
A whirlpool is a body of rotating water produced by opposing currents or a current running into an obstacle. Small whirlpools form when a bath or a sink is draining. More powerful ones in seas or oceans may be termed maelstromsHakuna hiyo sehemu popote pale duniani
Mkuu tuna mawazo sawaKatikati ya mpira si ni pale pa kujazia upepo
nakubaliana na weweA whirlpool is a body of rotating water produced by opposing currents or a current running into an obstacle. Small whirlpools form when a bath or a sink is draining. More powerful ones in seas or oceans may be termed maelstroms
Whirlpools can be dangerous for swimmers and small boats, although larger ships aren't at any real risk of being sucked into a whirlpool, even a particularly large and powerful one
Hv hayo maji yanavoingia chini huko mbona cjawah kusikia labda maji ya bahari yamepungua kutokana na jinsi yanavoingia chini huko.?A whirlpool is a body of rotating water produced by opposing currents or a current running into an obstacle. Small whirlpools form when a bath or a sink is draining. More powerful ones in seas or oceans may be termed maelstroms
Whirlpools can be dangerous for swimmers and small boats, although larger ships aren't at any real risk of being sucked into a whirlpool, even a particularly large and powerful one
na mvua zinavyonyesha alafu mito yote inafurika umewahi kusikia bahari imejaaHv hayo maji yanavoingia chini huko mbona cjawah kusikia labda maji ya bahari yamepungua kutokana na jinsi yanavoingia chini huko.?
Sawa funzadumeBermuda triangle tumejifunza na kuisikia kabla hata Diamond hajazaliwa sio tu Wasafi Radio
Dunia tufe inakuwaje Bermuda hapo pawe kati kati?Huita bermuda triangle au ni katkat ya Dunia yetu ambapo hapo kuna high force of gravitation
ambapo iwe juu au chini au ndani ya maji chochot kukipita lazima kivutwe na hiyo force ni kama sumaku yenye Nguvu kubwa
Mkuu unafananisha aliens na vibwengo!dahNi ngumu kumtenganisha binadamu na ushirikina awe mweupe au mweusi.Hata huku kwetu Afrika Kuna maeneo tunaamini watu na vitu hupotea kimaajabu.
Ndio yaleyale ya vitu huku tukiita vibwengo kule wanaita aliens.Kumbe tofauti technology tu ila ushirikina ni uleule.
Hii sehemu sito isahau mwaka jana mwezi wa saba natokea marekani Florida narudi UK haaahaaa ndege ilipo fika hiyo sehemu Acha kabisa ndege ilikua inayumba kama umepanda gari bovu kwenye barabara isiyokua na rami mpaka mizigo inaangukia watu ikafika hatua taa zikazimwa zote ndege nzima giza tupu hamuonani hiyo hali iliendelea kama dk 45 za moto sito sahau kiukweli nilikua na sali kimoyomoyo kwa sababu ilionekana Hali ya lolote kutokea nashukuru Muumba alituvusha salaama eleo hilo sio la kitoto na tulipita hapo usiku kama saa saba hivi kuelekea saa nane ukiangalia vile viscreen kwenye ndege location Bermuda sio poa hapo pasikieni tuKiukweli hii sehemu ina utata sana tena sana kwani kuna matukio mengi yameshatokea maeneo haya mpaka sasa dunia haijapata jawabu ni nini kilichopo eneo hilo. Baadhi ya majina ya hili eneo ni Dragons Triangle, Devil's triangle,
Mfano , kuna matukio ya ndege nyingi kupotea mazingira ya kutatanisha kama ile ya Malaysia ilivyopoteaga. Mfano ni ndege ya Ufaransa ijulikanayo kama Airbus Flight 815.
"basically, a flight across the Pacific was brought down by a large electrical magnetic energy pulse (EMP), which was later found to be a released from "The Island". It brings to mind the natural points of energy or chakras on the planet"
Il kuielewa hii kitu kuna tafasiri za kidhana zilizobuniwa na wataalamu kadhaaa katika kuchanganua mauza uza ya hili eneo.
1.Electromagnetism: The Bermuda Triangle is one of two places on Earth (the other is off of the east coast of Japan), where a compass actually points to true north. This disruption in the magnetic field can be confusion is unexpected. Normally a compass will point towards magnetic north and can differ by up to 20 degrees. If the change is not corrected, a navigator can get lost easily.
2.Meteorology and the Gulf Stream: This region is the source where many tropical storms and hurricanes develop. The warm water oceanic flow of the Gulf Stream can greatly influence storm paths as well as the water and air currents in the vicinity. This can overcome many efforts by ships and planes to compensate if captains and crew members are not prepared.
3.Topography: The Mid-Atlantic Ridge is a mountain range on the ocean floor that is the highest in the world. That means the deepest trenches are found here as well. This topography can affect the density and salinity of the ocean, resulting in changeable currents without notice. The ridge and trenches are also a source of geologic activity. Methane vents have been described to release large bubbles that rise to the ocean surface. The bubbles can create whirl pools, as well as changes in air density above the ocean surface. Sea or aircraft, in theory, could be greatly disrupted and therefore lost.
Baadhi ya mifano ya ajali za ndege ambazo zisha wahi tokea eneo hilo na kuzua kizungumti hapa duniani ni kama zifuatazo ,