Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

Masuala yepi ya kijiografia na wakati wanasema bado hawajaweza kujua kuna nini pale na tafiti nyingi zimefanyika lakini hadi leo hakuna jibu sahihi kwamba what actually hua kinatokea pale ...hayo masuala ya kijiografia ndo yanapoteza ndege au meli?
 
kwa nini isiwezekane labda,au unaamini pana wachawi hapo?
 
kwa nini isiwezekane labda,au unaamini pana wachawi hapo?
Siamini kama pana uchawi lakini uchawi upo duniani nikueleze tu kama ulikua hujui,
so far hakuna ambaye anajua kwamba hapo pana nini
na bado kuna tafiti zinaendelea, kilichobaki ni just random facts ..
kwani kuna mtu anajua for sure ndege za malaysia zipo wapi ama zilipatwa na nini? Au mtasema sababu za kijiografia
 
Mkuu ulienda lini kuchunguza
sijaenda mkuu ila logically inaniingia akilini,si kila sehemu baharini inaweza kupitika hasa kulingana na nature ya mawimbi nk ila watu wanalazimika kupitia hapo kwa kuwa kijiografia tuusehemu ilipo hawana budi kupita,sehemu kukiwa na shimo kubwa kwenda chini iwe baharini au nchi kavu hyo sehemu lazima itakuwa na upepo mkali sna unaoingia humo kwa kuzunguka,au kama ni bahari itakuwa na mawimbi makali sana yanayozunguka kiasi kwamba ili nguvu ya pale inaweza kukivuta hata kitu ambacho kinapita around maeneo yale,kama ni mtu akitumbukia humo uwezekano wa kuona hata maiti yake ni mdogo,nakumbuka wakati wadogo mtoni tulikuwa tunaambiwa hapo kuna chunusi linabeba watu nk,si kweli ni nguvu ya uvutano iliyoko pale
 
mbona ni pembe tatu kubwa sana ...au hio bermuda iko kwenye ile mistari tu na sio ndani ya ile pembe tatu
Ni kubwa lakini kama nlivokuambia labda wanapita pembeni kufika sehem nyingine zilizopo bermuda na visiwa vingine lakini sio ndani ya ile PEMBE TATU
 
sikatai ila kuna mambo mengi sana yanaweza tokea nje ya ushirikina,mengine ni reasonable kabisa,hivi kuna kitabu kinahusu maajabu yaliyotokea hapo Bermuda na mimi nikisome maana nimejaribu kukitafuta sijakipata,kuna mambo mengi sana yanatokea now hayajawa proven kisayansi ila as we go tutakuja kupata jibu so ni mapema sana ku conclude kuwa pale ni ushirikina
 
Ni kubwa lakini kama nlivokuambia labda wanapita pembeni kufika sehem nyingine zilizopo bermuda na visiwa vingine lakini sio ndani ya ile PEMBE TATU
kwa pale bermuda ilivyo lazima upite pale ndio maana wanashindwa kuto ipita wakaiacha na hayo mambo yake ndio maana nimekwambia ni geographical location ya pale.meli na ndege lazima zipite hapo,kilakitu kina eneo lake maalumu la kupita ndege au meli
 
tusilishwe maneno sana na tuyakubali kama yalivyo.

siku hizi kuna ndege zisizo endeshwa na rubani kwanini yasifanyike majaribio kuzipitisha hapo huku zikifuatiiwa na camera ili tuoate raw footage ya kitakacho tokea?
think out of the box
 
Embu tafuta online uonekama wanasayansi washalidhibitisha hilo na kwamba mjadala umefungwa
halafu uje u share na jamii intelligence
 
mp
Embu tafuta online uonekama wanasayansi washalidhibitisha hilo na kwamba mjadala umefungwa
halafu uje u share na jamii intelligence
aka naandika hivi nimesoma tayari na nimekupa baadhi ya facts za wanasayansi sasa sijui unataka ni kuwa ni masuala ya kishirikina but kuamini kuwa ni ushirikina hakutufanyi tushindwe kufanya tafit
 
kuwa pembe tatu.ilipewa jina hilo kwa kutokana na mazara ya njia basi njia hizo zilizo wekwa pembe tatu ndio utakazo pita kufata masharti.kama utapata ramani inayo onyesha njia za meli zinazo takiwa meli zipite na hapo utaona njia hiyo ndiyo imeweka hivo
 
Hua naogopa kuchangia mada kama hizi sababu unakuta mleta mada conspiracy theorist anataka watu wachangie anachokiamini ila sio ukweli wa mambo. Hakuna cha uchawi wala devil blah blah pale. Meli zinapita hilo eneo daily na ndiyo sehemu inaongoza, kua na ajali chache mnashangaa, na ajali nyingi zimetungwa hazikutokea. Ni ka kariakoo watu kibao alafu watu waibiwe ukae kusema kuna mchawi kariakoo. Sehemu inayoongoza kwa population 0.1% kupatwa na kitu kibaya sio uchawi, its just statistics.
 
mp

aka naandika hivi nimesoma tayari na nimekupa baadhi ya facts za wanasayansi sasa sijui unataka ni kuwa ni masuala ya kishirikina but kuamini kuwa ni ushirikina hakutufanyi tushindwe kufanya tafit
Hahaha siongelei mambo ya ushirikina naona umekazania huko na mind you hizo ni myths tu za watu tofauti tofauti ukweli kwamba hatujajua nini kipo pale for sure, tunalishwa maneno na zaidi kuna mdau hapo kasema marekani wana teknolojia kubwa na pengine wana ndege na drones zisizotumia rubani, sasa inakuaje wanashindwa kua na say moja kwamba hapo kuna nini mana kila mtu anakuja na tafiti zake na nadhan pia hata wewe utakua umesoma moja kati ya maelfu ya tafiti..nionyeshe link uliposoma hizo sababu za kijiografia ...
 
kila siku teknolojia inakuwa so sio kwa kuwa watu wameshindwa kujua leo basi hawataweza kujua na kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…