Fafanua zaidSijaona mda wa kuchamba koromeo bwashee?
ShukranHongera sana
Bwashee anamaanishaa ajaona muda wa wewe kwenda bar mkuu ktk ratiba yako hyoFafanua zaid
Baa ipo nyumbani tena chumbani kwangu, starehe napata huko. Mlango nafunga taa nyekundu inawashwa ili watoto wajue kwamba kuna vinywaji vikali vinanywewaBwashee anamaanishaa ajaona muda wa wewe kwenda bar mkuu ktk ratiba yako hyo
Mshipa ulioenda ktk ubongo wako umezibwa na kinyesi, unahitaji upate upasuajiUpumbavu.....Dini ni utapeli, unakatisha usingizi kwa sababu za kipuuzi ? Hiyo pepo unaijua ? Kuna ndugu yako alienda akarudi kukuhadithia? Ukifa umeenda babu, mambo ya hadithi sijui kifungu gani ni mambo ya ulimwengu tu .... Tunaishi mara moja tu
Ndio alitakaa asikiee hvyo mkuu,nazan kashaelewa ssBaa ipo nyumbani tena chumbani kwangu, starehe napata huko. Mlango nafunga taa nyekundu inawashwa ili watoto wajue kwamba kuna vinywaji vikali vinanywewa
ThanksHongera sana
Dua ya kumshukuru mungu muarabu kwa kuzamisha jua kwenye tope zito na kulichomoza topeni vp..... pia hizo dua unazo muomba Mungu Muarabu zingatia kutumia kiarabu kwa sababu ndiyo lugha ya Mungu muarabu.Naamka saa 9 -9:30 usiku, naenda chooni ,natia udhu.
Naswali tahajud pamoja na witri.
Baadae naomba dua mbali mbali ikiwemo kuepushwa na moto na kuingizwa pepo , na Allah kuniondoa hali ya kuwa nimo ndani ya radhi zake , nafanya adhkar na nasoma Quran kidogo.
Saa 5: 15 naswali swala ya Alfajir, baadae nasoma Quran na adhkar mbali mbali
Saa 12:00 nafanya mazoezi ya viungo huku nikienda mchaka mchaka.
Nikirudi nankunywa chai na naenda kutafuta rizik kwa kuwatumikia wananchi.
Saa 12 jioni, nakaa na familia kabla swala ya Isha huku nikiandika paper mbali mbali kwa ajili ya kupablish ktk journal za kimataifa. Nimebase ktk technology .
Baada ya kuswali Isha naperuzi taarifa mbali mbali ktk mitandao mbali mbali. Saa 4 usiku nalala.
Changamoto
Nakosa muda wa kukunja goti kusoma darsa . Inshallah 2027 nategemea kutenga muda wa kusoma darsa kuifahamu zaidi dini yangu.
VITU NILIVYOFANIKIWA KUVIEUPUKA
1. Kukaa kwenye TV kuangalia mpira
2. Club za pombe
3. Maskani au mabaraza ya siasa
4. Majumba ya starehe
Wewe jee? Ipi ratiba yako?
Wewe ni CHAWA hutumikii wananchi ila unawatumikia wezi na wauaji wa CCMnaenda kutafuta rizik kwa kuwatumikia wananchi.