Dubai Market
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,186
- 1,595
hakuna riya kwani mtume hakutuambia kam anaswali tahajud, au mke wake bi aisha hakusimulia kwamba mtume alikua anaamka usiku kuswali kwahiyo walikuwa wanafanya riya?Hujui maana ya Riya
Anaposema anaamka saa 9 usiku kuswali tahajudi hapo sio riya?
mbona hujauliza ratiba ya kulahua unagonga au unagongwa
sijaona ratiba ya kukaza au kukazwa kwenye ratiba Yako
Boss hao walikuwa wanatuonyesha njia za kufuata na kutuelimisha kuyaendea yale ambayo yatakuwa na manufaa na sisihakuna riya kwani mtume hakutuambia kam anaswali tahajud, au mke wake bi aisha hakusimulia kwamba mtume alikua anaamka usiku kuswali kwahiyo walikuwa wanafanya riya?
Ningalisema nakunywa bia ungalinipongeza?Hujui maana ya Riya
Anaposema anaamka saa 9 usiku kuswali tahajudi hapo sio riya?
Boss hao walikuwa wanatuonyesha njia za kufuata na kutuelimisha kuyaendea yale ambayo yatakuwa na manufaa na sisi
Ibada ya usiku mnene ni ibada nzito sana,ni
Riyaa ni jambo linalohusiana sana na nia ya moyo, na hatuwezi kuhukumu nia ya mtoa mada kwa kutazama tu kwamba ameeleza ibada zake hadharani.Boss hao walikuwa wanatuonyesha njia za kufuata na kutuelimisha kuyaendea yale ambayo yatakuwa na manufaa na sisi
Ibada ya usiku mnene ni ibada nzito sana,ni ibada za wacha mungu,hapo ni wewe ni Allah, kwanini utuambie kuhusu ibada baina yako na Mola wako
Sipo hapa kubishana na sina muda huo,yangu ni kufikisha ujumbe tu
Kwenye suratil mauun, tunaambiwa Ole wao wenye kuswali na huku wanajionyesha.....
Chochote cha kiibada basi kifanye baina yako na Mola wako,na sio kutangaza dunia nzima kwamba ujulikane unaamka usiku kuswali tahajud
Hii ni rai kwa waislamu wote popote pale walipo hakika riya ni shiriki ndogo,ambayo tusipo kuwa makini itatufelisha wengi
Asante
TAIFA linatakiwa likombolewe aiseee.Naamka saa 9 -9:30 usiku, naenda chooni ,natia udhu.
Naswali tahajud pamoja na witri.
Baadae naomba dua mbali mbali ikiwemo kuepushwa na moto na kuingizwa pepo , na Allah kuniondoa hali ya kuwa nimo ndani ya radhi zake , nafanya adhkar na nasoma Quran kidogo.
Saa 5: 15 naswali swala ya Alfajir, baadae nasoma Quran na adhkar mbali mbali
Saa 12:00 nafanya mazoezi ya viungo huku nikienda mchaka mchaka.
Nikirudi nankunywa chai na naenda kutafuta rizik kwa kuwatumikia wananchi.
Saa 12 jioni, nakaa na familia kabla swala ya Isha huku nikiandika paper mbali mbali kwa ajili ya kupablish ktk journal za kimataifa. Nimebase ktk technology .
Baada ya kuswali Isha naperuzi taarifa mbali mbali ktk mitandao mbali mbali. Saa 4 usiku nalala.
Changamoto
Nakosa muda wa kukunja goti kusoma darsa . Inshallah 2027 nategemea kutenga muda wa kusoma darsa kuifahamu zaidi dini yangu.
VITU NILIVYOFANIKIWA KUVIEUPUKA
1. Kukaa kwenye TV kuangalia mpira
2. Club za pombe
3. Maskani au mabaraza ya siasa
4. Majumba ya starehe
Wewe jee? Ipi ratiba yako?