Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Titanic ni moja ya movie duniani ambayo mpaka sasa iko kwenye rekodi ya movies zilizouza sana duniani hadi kufikia gross sales kwenye box market USD 1 billion.
Movies nyingi huwa zina starring na kubwa la maadui (villain).
Kwa miaka mingi wengi wameitazama hii movie ya TITANIC ila mpaka leo hawajui ni nani kubwa la maadui.
Kwenye TITANIC kubwa la maadui ni mwanamke (Rose)
Kwa nini tunasema hivyo? Kuna mambo ya kishenzi ambayo Rose aliyafanya kwa mchumba wake na mchepuko wake (Jack) na hivi ndivyo wanawake walivyo, ndio maana huwa wanaitazama hii movie kwa hisia sana.
Movie hii ambayo imebeba tukio halisi jinsi wanawake walivyo wakatili kwenye mahusiano na kufunua jinsi mwanamke alivyo merciless in relationship.
Fear women mkuu.
Inaendelea...