Hii ndiyo sababu kwa nini wanawake wengi wanaipenda movie ya "TITANIC"

Hii ndiyo sababu kwa nini wanawake wengi wanaipenda movie ya "TITANIC"

Nakubaliana na wewe. Katika titanic Rose ndie villain.

1.Alicheat mchumba wake kwa kukibali kumtombwa na kumvulia nguo mwanaume mwingine ili amchore.

2-alikua mdangaji, alikubali kuchumbiwa na mtu ambae hampendi kwa sababu ya hela tu.

3-alikua mnafiki, baada ya umalaya wake kusababisha matatizo akaanza kujifanya yeye ndie victim

4. Katika ile mbao iliokua inaelea kulikua na nafasi ya kutosha na jack kupanda pia lakini Rose akujisumbua hata kusogea pembeni wapande wote wawili. Kumbuka uyo jack tayari alishaokoa maisha yake mara nyingi katika ile ajari
mkuu wewe ni mtu wa mkoa wa Mara?
 
Ww jamaa bhana 😂

Nadhani h titanic unayoisema hapa sip titanic h ambayo sisi wngn tunaijua
Ndio iyo iyo. Ile movie imesukwa katika namna ya kutaka kuonyesha yule mchumba wa Rose ndie villain. Lakini ukiingilia kwa fikra huru unaona villain ni Rose.

Pata picha aliyoyafanya Rose angeyafanya yule mchumba ake. Yaani Cal Hockley ndie angecheat na mwanamke mwingine mule ndani ya meli na angejaribu kutoloka nae, unafikiri angeonekana ndie steringi wa movie kama ilivyokua kwa Rose?
 
Nakubaliana na wewe. Katika titanic Rose ndie villain.

1.Alicheat mchumba wake kwa kukibali kumtombwa na kumvulia nguo mwanaume mwingine ili amchore.

2-alikua mdangaji, alikubali kuchumbiwa na mtu ambae hampendi kwa sababu ya hela tu.

3-alikua mnafiki, baada ya umalaya wake kusababisha matatizo akaanza kujifanya yeye ndie victim

4. Katika ile mbao iliokua inaelea kulikua na nafasi ya kutosha na jack kupanda pia lakini Rose akujisumbua hata kusogea pembeni wapande wote wawili. Kumbuka uyo jack tayari alishaokoa maisha yake mara nyingi katika ile ajari
Uzi ufungwe
 
Kwanza unapaswa kuelewa kwamba yule hakuwa mume wa Rose bali mchumba ambae alitakiwa kuoana nae kutokana na shinikizo la familia, kulenga faida za kibishara kwa familia yake. Jack alikuwa ni kijana aliempenda kwa hiari yake, pamoja na kwamba alitokea familiaya kimasikini. Ona kwamba mwishowe, Rose hakuwa tayari kuolewa na yule mchumba japo Jack alikuwa amekufa.

Pili, kufanya conclusion juu ya wanawake kwa sababu ya sinema ya TITANIC sio kuwatendea haki. Mama yako alimfanyia baba yako ukatili gani?

Kwa hiyo kaangalie tena movie na ukiweza uwe na mtu wa kukutafsiria Mkuu

Angalia hapo kwenye bold, ukatili wa mama yako kwa baba yako anaujua baba yako. Na baba yako angekuambia ungemchukia mama yako milele. Ila kwa vile wanaume tuna tabia ya kuweka mambo as if nothing happened, basi tunapotezea ili mradi maisha yaende.
 
kwa civilazation ya miaka ile ambayo ile movie imetengenezewa taswira suala la kuoana kwa interest za kifamilia mfano kisiasa au kibiashara lilikua jambo la kawaida sana, na wala sio baya au jipya kama unavyotaka kumaanisha hapa. Huyo Rose alitakiwa kukataa tangu mwanzo, lakini kama alikubali basi hakuna justification ya yeye kutombwa na jack, atabaki kuwa kama kiwakilishi cha malaya ambae alimcheat mchumba wake.
Hakumcheat ila alimkataa mchana kweupeeeeee, jamaa alipambana arudi ilishindikana mwisho wa siku akakubali kishingo upande, kwa hiyo Rose alifata Moyo wake hakua na tamaa za mali kama familia yake.
 
Kuforce mapenzi, akajaribu hadi kuua etc.
Umemchumbia mwanamke. Umemchukua rasmi kutoka kwao. Mpo ndani ya meli na familia yake inajua binti yao yupo mikononi mwako, halafu katikati ya safari anatokea muhuni anataka kumtorosha. Hivi hata ungekua wewe ungewaachia tu waondoke.

Chukulia wewe ndie baba wa Rose, unajua binti yako yupo safarini na mchumba wake, halafu mume mtarajiwa wa binti yako katoka safarini anakwambia binti yako alikutana na kijana ndani ya meli nikawaachia waondoke pamoja. Ungeweza kumuelewa huyu mkwe wako?

Sijaona kosa la mchumba wa Rose. Yeye kama mume mtarajiwa alikua na dhamana ya usalama wa mchumba wake kwaiyo alifanya kile kinachostahili.
 
Kwahiyo mlitaka Rose aolewe na yule jamaa mkatili tena kwa kulazimishwa? Mna matatizo nyie viumbe
Alitakiwa kukataa kuanzia mwanzo au kama aligundua badae akiwa tayari ashakosea kufanya maamuzi basi angefuata utaratibu rasmi wa kuvunja uchumba.

Wakati wa angagement bila kushikiwa bunduki aliulizwa will you marry me? Akajibu yes akavalishwa pete, kwaiyo kuanzia hapo alitakiwa kuwa mwaminifu kwa mchumba wake. Rose alimcheat mchumba wake mule ndani ya meli, hakuna justification yoyote ya kutetea usaliti alioufanya.

Ndoa au uchumba umekushinda vunja kwa taratibu rasmi. Kumcheat mchumba/mume wako sio suluhisho bali ni kuongeza tatizo jingine
 
Hakumcheat ila alimkataa mchana kweupeeeeee, jamaa alipambana arudi ilishindikana mwisho wa siku akakubali kishingo upande, kwa hiyo Rose alifata Moyo wake hakua na tamaa za mali kama familia yake.
Rose alimcheat mchumba wake. Kuvunja uchumba kuna taratibu zake ikiwemo kurudisha engegement ring. Wakati rose anamvulia nguo jack ili amchore alikua amevaa pete ya uchumba mkononi. Baada ya pale kuna scene ambazo Rose alionekana hajavaa pete lakini hakuna scene ambayo Rose alirudisha engagement ring.

Mimi sikatai kwamba uenda Rose akua na mapenzi kwa mchumba wake. Ninachosema hapa ni ukweli kwamba Rose alifanya usaliti. Suala la kumpenda au kutompenda ingewezekana kumalizwa kuungwana. Angesubiri safari iishe wakae waongee na mchumba ake walimalizane, then aanze mapenzi yao na jack, lakini sio kumsaliti mwenzako.
 
Rose alikua malaya tu kama walivyo akina Gigy Money
 
Back
Top Bottom