Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Kwanza unapaswa kuelewa kwamba yule hakuwa mume wa Rose bali mchumba ambae alitakiwa kuoana nae kutokana na shinikizo la familia, kulenga faida za kibishara kwa familia yake. Jack alikuwa ni kijana aliempenda kwa hiari yake, pamoja na kwamba alitokea familiaya kimasikini. Ona kwamba mwishowe, Rose hakuwa tayari kuolewa na yule mchumba japo Jack alikuwa amekufa.Titanic ni moja ya movie duniani ambayo mpaka sasa iko kwenye rekodi ya movies zilizouza sana duniani hadi kufikia gross sales kwenye box market USD 1 billion.
Movies nyingi huwa zina starring na kubwa la maadui (villain).
Kwa miaka mingi wengi wameitazama hii movie ya TITANIC ila mpaka leo hawajui ni nani kubwa la maadui.
Kwenye TITANIC kubwa la maadui ni mwanamke (Rose)
Kwa nini tunasema hivyo? Kuna mambo ya kishenzi ambayo Rose aliyafanya kwa mumewe na mchepuko wake (Jack) na hivi ndivyo wanawake walivyo, ndio maana huwa wanaitazama hii movie kwa hisia sana.
Movie hii ambayo imebeba tukio halisi jinsi wanawake walivyo wakatili kwenye mahusiano na kufunua jinsi mwanamke alivyo kihalisi merciless in relationship.
Fear women mkuu.
Inaendelea...
Synthesizer hapa umefanya photosynthesis kabisa hudaiwi.Kwanza unapaswa kuelewa kwamba yule hakuwa mume wa Rose bali mchumba ambae alitakiwa kuoana nae kutokana na shinikizo la familia, kulenga faida za kibishara kwa familia yake. Jack alikuwa ni kijana aliempenda kwa hiari yake,pamoja na kwamba alitokea familiaya kimasikini. Ona kwamba mwishowe, Rose hakuwa tayari kuolewa na yule mchumba japo Jack alikuwa amekufa.
Pili, kufanya conclusion juu ya wanawake kwa sababu ya sinema ya TITANIC sio kuwatendea haki. Mama yako alimfanyia baba yako ukatili gani?
Kwa hiyo kaangalie tena movie na ukiweza uwe na mtu wa kukutafsiria Mkuu
Mkuu, ulikuwa wapi? Hii ni movie ya zaidi ya miaka 20 iliyopita, sio kwamba imetoka sasaMove ambayo itatamba Sana miaka ya mbeleni maana imebeba maudhui na muonekano wa Miaka mingi ilio pita
Ndio maana CCM wanatuongoza vibaya bila kuwa na hofu yeyote, wanajua akili yetu tumeipeleka wapi🙁!Naipenda titanic haswa ile scene jack na rose wanafanya mchezo mbaya kwenye kile kigari
No reform No erection?Ndio maana CCM wanatuongoza vibaya bila kuwa na hofu yeyote, wanajua akili yetu tumeipeleka wapi🙁!
Mkuu hapo sasa unawasema wanaume wa CCM, wenye vifua vikubwa na vidogo!No reform No erection?
Kama alikubali kuchumbiwa kwa nini akatae kuolewa na mtu aliemkubali, au huyo mchumba alifilisika kwenye hii movie? Mkuu, na wewe unahitaji kuingalia hii movie tena ukiwa na mtu pembeni wa kukusaidia kutafsiriNakubaliana na wewe. Katika titanic Rose ndie villain.
2-alikua mdangaji, alikubali kuchumbiwa na mtu ambae hampendi kwa sababu ya hela tu.
kwa civilazation ya miaka ile ambayo ile movie imetengenezewa taswira suala la kuoana kwa interest za kifamilia mfano kisiasa au kibiashara lilikua jambo la kawaida sana, na wala sio baya au jipya kama unavyotaka kumaanisha hapa. Huyo Rose alitakiwa kukataa tangu mwanzo, lakini kama alikubali basi hakuna justification ya yeye kutombwa na jack, atabaki kuwa kama kiwakilishi cha malaya ambae alimcheat mchumba wake.Kwanza unapaswa kuelewa kwamba yule hakuwa mume wa Rose bali mchumba ambae alitakiwa kuoana nae kutokana na shinikizo la familia, kulenga faida za kibishara kwa familia yake. Jack alikuwa ni kijana aliempenda kwa hiari yake, pamoja na kwamba alitokea familiaya kimasikini. Ona kwamba mwishowe, Rose hakuwa tayari kuolewa na yule mchumba japo Jack alikuwa amekufa.
Ila mkuu sina hakika kwenye moyo wako kuna nafasi ya mwanamke, lugha rahisi kusema ni unawachukia 🤣Nakubaliana na wewe. Katika titanic Rose ndie villain.
1.Alicheat mchumba wake kwa kukibali kumtombwa na kumvulia nguo mwanaume mwingine ili amchore.
2-alikua mdangaji, alikubali kuchumbiwa na mtu ambae hampendi kwa sababu ya hela tu.
3-alikua mnafiki, baada ya umalaya wake kusababisha matatizo akaanza kujifanya yeye ndie victim
4. Katika ile mbao iliokua inaelea kulikua na nafasi ya kutosha na jack kupanda pia lakini Rose akijisumbua hata kusogea pembeni wapande wote wawili. Kumbuka uyo jack tayari alishaokoa maisha yake mara nyingi katika ile ajari
Sasa unaniuliza mimi swali ambalo ulitakiwa kumuuliza Rose mwenyewe.! upo timamu kichwani?Kama alikubali kuchumbiwa kwa nini akatae kuolewa na mtu aliemkubali, au huyo mchumba alifilisika kwenye hii movie?
Katika movie yote sijaona mahali Rose anaonyesha amemkubali mchumba wa kupangiwa Caledon, bali naona akionyesha wazi katika kila anavyo-interract na Caledon kuwa yuko katika hali ya kulazimishwa. Na ndio maana yuko very rebellious kwa mchumba asie chaguo lake.kwa civilazation ya miaka ile ambayo ile movie imetengenezewa taswira suala la kuoana kwa interest za kifamilia mfano kisiasa au kibiashara lilikua jambo la kawaida sana, na wala sio baya au jipya kama unavyotaka kumaanisha hapa. Huyo Rose alitakiwa kukataa tangu mwanzo, lakini kama alikubali basi hakuna justification ya yeye kutombwa na jack, atabaki kuwa kama kiwakilishi cha malaya ambae alimcheat mchumba wake.
Nahisi hujabalehe wewe. Huelewi kuna wanawake wanavyolazimishwa kuolewa? Kwa hiyo mtu akilazimishwa kuolewa anakuwa amekubali?Sasa unaniuliza mimi swali ambalo ulitakiwa kumuuliza Rose mwenyewe.! upo timamu kichwani?
Safari inaanza Rose alikua tayari ameshachumbiwa. Kama alikubali kuwa engeged na yule jamaa alitakiwa kuwa muaminifu kwa mumewe mtarajiwa. Hakuna justification ya Rose kukubali kumsaliti mchumba wake.