Hii ndiyo sababu kwa nini wanawake wengi wanaipenda movie ya "TITANIC"

Kabla hata hawajapanda meli Rose alikua tayari ameshachumbiwa na yule jamaa. Kaangalie upya movie, tangu mwanzo Rose alikua anavaa engagement ring. Suala la kwamba alimpenda au hakumpenda iyo haituhusu ambacho tunaongelea hapa ni ukweli kwamba alimcheat mchumba wake
 
Nahisi hujabalehe wewe. Huelewi kuna wanawake wanavyolazimishwa kuolewa? Kwa hiyo mtu akilazimishwa kuolewa anakuwa amekubali?
Akatae kuolewa tangu mwanzo au avunje ndoa kwa taratibu rasmi. Lakini kama amekubali kuolewa au kuchumbiwa hakuna justification ya uyo mwanamke kukubali kutombwa na mwanaume mwingine.

Wewe una uhakika gani hata uyo mchumba wake nae alikua anampenda. Ushasema waliunganishwa kwa masilahi ya kifamilia sasa haujawaza hata uyo mchumba nae inawezekana alimkubali kulinda hadhi/heshima ya familia.

Kwamba yule mchumba wa Rose nae angeeamua kutomba mwanamke mwingine mule ndani ya meli ingekua sawa?
 
Naunga mkono hoja yako mkuu.

Rose alikuwa tayari ni mke mtarajiwa wa Bwana Caledon ila akaleta tabia halisi ya wanawake malaya ya kupenda Ma handsome kumbe yule ni muuni flani kutoka gheto na ndio maana hata sehemu aliyoenda kumbandulia ni kwenye mazingira mabovu kwa hadhi na familia ya Rose
bila ile ajari alikuwa anaenda kuwa singeri Mama nina uhakika yule muuni Jack angemwibia akamkimbia.
 
Yale maswali ya maksi 15 au 20 kwenye fasihi andishi,uliwahi kosa hata maksi moja kweli πŸ€”,huu uhakiki umenyooka kiongozi πŸ‘
 
Kweli kabisa, kwanza wangeishi wapi na uyo muhuni, mtu mwenyewe nauli tu aliipata kwa kubet.
 
Lugha unayotumia dah, eti kutombwa, siku nyingine punguza ukali kjn
 
Ww jamaa bhana πŸ˜‚

Nadhani h titanic unayoisema hapa sip titanic h ambayo sisi wngn tunaijua
 
Ndo mana jamaa Kapigwa ban, mana analeta mada zake za kufikirika nafsini kwake mwnyw
 
Kwahy ajali haikuwa kwenye script ilitokea bahati mbaya wakati wanaigiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…