Hii ndiyo sababu kwa nini wanawake wengi wanaipenda movie ya "TITANIC"

Kwan Kwanza utambue mule hakuwa mshikaji pekee yake kulikuwa na ndugu wa rose pia, wote ni mashuhuda
Kwa mimi ningemuacha demu kiroho safi. Sina tabia ya kufosi mapenzi, mie nikiona dalili za kuoendwa ndio akili yangu inaanza kumzingatianhuyo mtu, akionesha hama mapenzi Fasta akili inabadili gia... Haijalishi moyo utasemaje.
 
Ukishamchumia mwanamke popote utakapokua nae usalama wake ni dhamana yako, au ulitaka bwana Caledon amwachie mama mkwe jukumu la kumzuia Jack asimtoloshe Rose?

Sikatai uenda Rose hakumpenda mchumba wake lakini uungwana ulikua ni kusubiri safari iishe afuate utaratibu rasmi wa kuvunja uchumba then aanze mapenzi yao na jack, sio kumsaliti mchumba ake.

Alichokifanya Rose kwenye titanic ni umalaya tu, sema victim status waliyonayo wanawake ndie inambeba. Nina uhakika kabisa Caledon ndie angefanya kama Rose, yaan angem-dump na kumcheat Rose mule ndani ya meli bado Rose ndie angeonekana victim. Society alway cooks narratives to favor women.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…