Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Inasemwa kuwa mtu akitundikwa huwa anatumia miguu yako kujunyanyua juu anapopumua. Sasa ili kuwafanya wafe haraka ilikuwa ni kawaida kuwavunja miguu ili washindwe kupumua vizuri na kufa mapema.
Karibu watu wote waliotundikwa walifanyiwa hivi. Lakini walipofika kwa Yesu wakakuta tayari ameshakufa hivyo hakukuwa na haja ya kumvunja miguu. Hapo utimizo wa unabii kuwa hakuna mfupa wake utavunjwa ukatimia.