jeremia mei
Member
- Feb 19, 2021
- 40
- 20
Ukifuatilia kwa umakini, pilato hakuwa na nia ya kumuua yesu kwa ushauri wa mkewe claudia, kwahy pilato aliamuru yesu ateswe tu baadaye aachiwe, basi yesu aliteswa sana naweza kusema ni zaid ya wale wawili sababu alipaniwa sana.Hivi ni kwanini mateso ya huyo wa katikati yaonekane mazito na yenye maana zaidi kuliko ya wengine hata hao wa pembeni yake? Kwani adhabu ya mwizi ndio hiyo kimantiki? Wote wameteswa zaidi ya stahiki zao, hata kwa akili ya kawaida tu
Lakin baada ya hapo yule kuhani mkuu ambaye ndiye aliyekuwa kama mshitaki mkuu wa yesu alitaka yesu asulubiwe mpaka kifo.
Yesu aliteswa kwa kuzingatiwa zaid kwa sababu watu hawakuwatilia maanani wale wezi wengine nadhani ni kwa sababu ya umaarufu aliokuwa nao yesu kwa wakati huo.