Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nimecheka sana!Mi nashangaa sana watu wa dini walivyo na utabaka
Ukisoma mafundisho pamoja na historia ya kifo cha yesu hata kupitia ile movie inaonesha Yesu na watu wengine wawili wakisulubiwa msalabani
Lakini pamoja na hayo yote bado yesu ndio anakuwa considered kama ni mtu aliyeteswa sana kiasi cha hao wengine kusahulika au umuhimu wao usionekane kabisa.
Katika jicho la sadaka mi naona hawa wawili ndio malegend kwasababu gani nasema hivyo
Nikwasababu sadaka ni ile iliyokufa ikaisha ikiwa mfu, sasa huyu Yesu tunaambiwa alifufuka.
Tena hata hakuwa na uvumilivu kukaa siku nyingi, ni baada ya siku tatu tu akafufuka.
Hiyo ni sadaka ya namna gani?
Umechinja ng'ombe kwa ajili ya sadaka, baada ya siku mbili unaiona inakatiza road hiyo ni sadaka mazee?
Utofauti wake Ni kwamba wale wawili walikuwa ni waharifu kweli, kwahiyo walistahili Hukumu kwa mujibu wa sheria.Mi nashangaa sana watu wa dini walivyo na utabaka
Ukisoma mafundisho pamoja na historia ya kifo cha yesu hata kupitia ile movie inaonesha Yesu na watu wengine wawili wakisulubiwa msalabani
Lakini pamoja na hayo yote bado yesu ndio anakuwa considered kama ni mtu aliyeteswa sana kiasi cha hao wengine kusahulika au umuhimu wao usionekane kabisa.
Katika jicho la sadaka mi naona hawa wawili ndio malegend kwasababu gani nasema hivyo
Nikwasababu sadaka ni ile iliyokufa ikaisha ikiwa mfu, sasa huyu Yesu tunaambiwa alifufuka.
Tena hata hakuwa na uvumilivu kukaa siku nyingi, ni baada ya siku tatu tu akafufuka.
Hiyo ni sadaka ya namna gani?
Umechinja ng'ombe kwa ajili ya sadaka, baada ya siku mbili unaiona inakatiza road hiyo ni sadaka mazee?
Kwa hiyo wale wasulubishaji walisema hawa wawili ni wahalifu ila huyu hana hatia na tunamsulubisha hivyo hivyo?Utofauti wake Ni kwamba wale wawili walikuwa ni waharifu kweli, kwahiyo walistahili Hukumu kwa mujibu wa sheria.
Mi nashangaa sana watu wa dini walivyo na utabaka
Ukisoma mafundisho pamoja na historia ya kifo cha yesu hata kupitia ile movie inaonesha Yesu na watu wengine wawili wakisulubiwa msalabani
Lakini pamoja na hayo yote bado yesu ndio anakuwa considered kama ni mtu aliyeteswa sana kiasi cha hao wengine kusahulika au umuhimu wao usionekane kabisa.
Katika jicho la sadaka mi naona hawa wawili ndio malegend kwasababu gani nasema hivyo
Nikwasababu sadaka ni ile iliyokufa ikaisha ikiwa mfu, sasa huyu Yesu tunaambiwa alifufuka.
Tena hata hakuwa na uvumilivu kukaa siku nyingi, ni baada ya siku tatu tu akafufuka.
Hiyo ni sadaka ya namna gani?
Umechinja ng'ombe kwa ajili ya sadaka, baada ya siku mbili unaiona inakatiza road hiyo ni sadaka mazee?
naomba fafanuwa tena mimi sijaelewa vema.SamahaniInasemwa kuwa mtu akitundikwa huwa anatumia miguu yako kujunyanyua juu anapopumua. Sasa ili kuwafanya wafe haraka ilikuwa ni kawaida kuwavunja miguu ili washindwe kupumua vizuri na kufa mapema.
Karibu watu wote waliotundikwa walifanyiwa hivi. Lakini walipofika kwa Yesu wakakuta tayari ameshakufa hivyo hakukuwa na haja ya kumvunja miguu. Hapo utimizo wa unabii kuwa hakuna mfupa wake utavunjwa ukatimia.
View attachment 2188551
Kujiita mfalme kwenye himaya ya mfalme ni uhaini, hilo ni kosa kwa maoni yangu, na ni uhainiKwa hiyo wale wasulubishaji walisema hawa wawili ni wahalifu ila huyu hana hatia na tunamsulubisha hivyo hivyo?
Au hao watesaji walimhesabu yesu naye kama mhalifu ila ni nyinyi tu mnaona hawakuwa sahihi kwasababu zenu binafsi?
Alafu mbona kama ile"natamani niwe Aigipii" niwaonyeshe kazi wakati aigpiiii yupoKujiita mfalme kwenye himaya ya mfalme ni uhaini, hilo ni kosa kwa maoni yangu, na ni uhaini
Wapo wanaosema alihukumiwa kwa kosa la wizi wa mbaoKujiita mfalme kwenye himaya ya mfalme ni uhaini, hilo ni kosa kwa maoni yangu, na ni uhaini
Watu ndiyo walikuwa wanatundikwa hivyo. Msalaba ni hekaya tu.Hivi hapo Yesu na hao wengine walipotundikwa, huo ni mti (pole)au msalaba✝️ ? Mbona wanatuchanganya?
CrossHivi hapo Yesu na hao wengine walipotundikwa, huo ni mti (pole)au msalaba[emoji3583] ? Mbona wanatuchanganya?
naomba fafanuwa tena mimi sijaelewa vema.Samahani