Hii ndiyo sababu ya Godbless Lema kutoambatana na mkewe kwenye kesi ya Kamanda Wema sepetu Dar

Hii ndiyo sababu ya Godbless Lema kutoambatana na mkewe kwenye kesi ya Kamanda Wema sepetu Dar

mbona mnayakuza Wema amemshukuru mke wa Lema kwa gauni acheni hizo bhana
 
Chadema ni sawa na mdudu kaa, huwa hana direction maalum na hutembea upande upande ukimgusa huku pembeni wala hajisumbui kugeuka ili atembee kuelekea upande mwingine. Huanza kurudi kinyume nyume. Ndo cdm ilivyo. Ni wazee wa marudio kule ccm wanakotoka wao hupita. Kuna wengine wametimuliwa nafikiri mnawamezea mate.
 
Hivi kwa spidi hii kweli chadema wana nia ya kuja ongoza hii nchi???
HAPANA.
Hivi kwa hali iliyopo sasa ccm wanaongoza hii nchi? Unafahamu maana ya kuongoza? ccm WAMESHIKILIA NCHI wala hawaiongozi popote..
 
Back
Top Bottom