Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
mtoto mzuri kajileta kwanin asiliwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama lema kua makini. wema ni jizi la wanaume wa watu wala kwenye siasa hajui anataka nini zaidi ya hela na wanaume.Wadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.
Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.
Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Mr lizabon naona unataka kufanyà siasa mpaka kugombanisha ndoa za watu. Wewe Ni mtu mzima jaribu kujirekebisha, Kuna upuuzi unaoweza kuruhusiwa kuzusha lakini si hapa ulikofikia.Kamanda, kwani kwenye uzi huu kuna.mahala nimeponda upinzani? Kuwa mpole kamanda
Alishakuibia mume wako? Na je unapoamua kuvuruga ndoa ndoa za watu kwa maneno ya kuzusha wewe unafaidi nini?mama lema kua makini. wema ni jizi la wanaume wa watu wala kwenye siasa hajui anataka nini zaidi ya hela na wanaume.
Unaweza kunihakikishia kuwa Lema huwa kila anapokwenda huwa anaambatana na mke wake? Na je kwenda Dar es salaam Lema ameambatana na wema au Dar es salaam ndiko wema anakoishi?Lakini si ni kweli Lema ameambatana na wepa bila mke wake
Wewe ndo uweke ushahidi wa umbeya wako!Acha propaganda kamanda. Weka ushahidi
Wadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.
Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.
Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Kwa hio ww umemwamin alichoandik huyu chizi, yaani umeshinda kujiongez kuwa kajitungia tu!?Hivi kwa spidi hii kweli chadema wana nia ya kuja ongoza hii nchi???
HAPANA.
... Magazeti ya udaku ya Shigongo yanasomwa sanaa ukilinganisha na hard news paper but nini hasa kinapatina kwenye magazeti ya udaku??
Mkuu kwani kabla ya kuja CHADEMA wema alikuwa chama gani?Hivi kwa spidi hii kweli chadema wana nia ya kuja ongoza hii nchi???
HAPANA.
Sio stori............ni habari za kuaminika.Hii nayo ni stori??
Tueleze sababuWadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.
Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.
Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Yawezekana ana cheo kikubwa ndani ya CCM si hapa hatutumii majina yetu halisi! bila shaka hahitaji cheo chochote huyu!Kiwanda cha majungu na unafiki kazini Lizaboni muda wowote huo hujapewa cheo huko lumumba?
Hivi Lizaboni ni Boy au She?
Lakini si ni kweli Lema ameambatana na wepa bila mke wake